Habari, Kama uzi unavyojieleza. Nitakua nikipost hapa nyumba, Viwanja vikubwa na Apartment zinazouzwa. Location na bei. Zaidi ni nyumba za Dar es Salaam
188 Sqm 3 Bedrooms Apartment for Sale, Upanga - Dar es Salaam
.
• Direction: Olympio Street (not far from Viva Tower & Uhuru Heights)
• Price: US$ 165,000
• VAT & Transfer included in price
• Monthly service charge: TZS 250,000
• call/WhatsApp 0762815104
.
new built (not used before) • city/ocean view • 7th floor • 2 lifts • power backup generator • dawasa water • 1 car parking • unfurnished • all bedrooms self contained • common washroom • living room & dinning area • modular kitchen • store room • ceiling fans • all rooms with ac • water heaters • kids play area with their swimming pool & changing rooms • surroundings cleaners • full of light • plenty of air • cctv camera • 24/7 security guards • calm surroundings • 5 minutes drive to supermarket, hospital, mosque, etc
Barabara Safi ya rami
_____________________
Sifa ya nyumba
Ina vyumba vi3 kimoja mastar
Sebule
Jiko la nje
Nyumba iko mtaa mzuri Sana
Eneo ni kubwa. Mita 25k 25
Umeme maji vyote vipo
Dakika. 2 kutoka Barabara kuu inayowekwa rami
Bei milioni 30
NYUMBA INA UZWA IPO KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 500.
UKUBWA WA ENEO SQMT 400
BEI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA 1 MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
DINNING ROOM
PUBLIC TOILET
JIKO/STORE
TILES
GYPSAM
UMEME UPO
MAJI YAPO YA MOROGORO
IPO NDANI YA FENCE YA Waya.
Hii plot Ina ukubwa wa Square metre 1500.
ipo Goba Maeneo ya Nashpark au Kings School,1 km from njia nne Kama unaenda Mbezi,kushoto kwako.
Umbali kutoka Road ni Metre 800; tu.
Kiko sehemu nzuri Sana,na mtaa wa kishua.
Inataka million 50.
Maelewano site.
Document Serikali ya Mtaa Safi kabisa.
0762815104
NYUMBA INAUZWA UPANGA. Ukisikia ninaishi DOWNTOWN ndio nyumba kama hii sasa. Nyumba ipo Upanga nyuma ya Mahakama ya Kisutu. Unatembea kwa miguu kwenda Posta. Ukifanikiwa kununua nyumba hii basi utajiona wewe ni miongoni mwa waliofanikiwa.
Nyumba imeumana na ardhi...unapata sehemu yako private ya kupaki magari mawili.
Mnatenganishwa kwa ukuta na jirani zako wa kulia na kushoto. Mbele hakuna kizuizi ukitoka barabarani unaingia kwako. Ukiingia ndani una kutana na sebule, mahala pa kula na jiko. ukipita jikoni kwenda uani unakutana nyumba ndogo chumba na sebule. Ukirudi ndani kuna ngazi unapanda juu ambapo unakutana na vyumba vingine viwili vya kulala. Bei 250mil .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.