Kwa wanaohitaji nyumba, kuuza nyumba au kupanga Nyumba tukutane hapa

Natafuta chumba kimoja kizuri karibu na hospitali ya taifa Muhimbili

Maeneo ya Magomeni,Msasani,Msimbazi etc
 
Natafuta Nyumba ya kupanga iwe ina room 2 au 3 za kulala,sebule,jiko na kuwa na nafasi nje ya car parking na iwe na uzio.
Ikiwa inajitegemea kwa bili ya umeme na maji itakuwa nzuri zaidi.
Iwe karibu na barabara kuu ya kuelekea morogoro.
Maeneo yawe kimara mwisho,mbezi(ya kimara).
 
Weka details na bei
kodi laki 4 unaweza kulipa kuanzia miezi 6
Nyumba ina vyumba vitatu na kingne master bedroom,, choo cha ndan cha public..dining room. .seble..jiko..stoi.. parking.. na kuna frem unawez kufny biashara.. system ya maji yapo mda wote.. karb sana.
 
Nyumba ya kupanga chanika ikiwa sebule chumba choo na bafu ndani inaenda ngapi pia luku ya kujitegemea
 
Natafuta nyumba mwanza ya vyumba viwili kimoja master,sebule Na jiko maeneneo ya kuanzia nyegezi kona hadi buhongwa....bei isizidi laki mbili
 
Eneo linakaribia heka. Kwa ubavuni inapakana na hall la kisasa lenye garden na kwa mbele kuna nyumba ya gorofa ni apartment na katikati barabara ya vumbi inayotokea morogoro road ni mita mia na jiwe la tanroad lipo nje ya hall yaan kabla ya hall kwa kutokea morogoro road na wengineo walio ndani ya jiwe la tanroad kwa upande huo washalipwa na serikali na wa upande wa kushoto mwa morogoro road walio ndani ya jiwe la tanroad na hifadhi ya tanesco washalipwa ukinunua waweza kuvunjiwa miaka ijayo serikali ikiamua na serikali ya mtaa haiwezi kutoa ushirikiano ktk mauziano wanaogopa jela. Bei ya eneo hilo ni milioni 300 mazungumzo yapo tuwakutanishe mnunuzi na anayeuza hakuna kitakachoshindikana na eneo ni zuri haliko mbali na morogoro road inaonekana kwa macho na hakuna ugomvi na serikali j iwe la tanroad halijaingiliwa.. 0652472486
 
Nauza viwanja vilivyopimwa viko puna,na Tundwi songani karibu kabisa na viwanja vya serikali kunako jengwa viwanda vya magu...viwanja vya puna viko karibu na beach karibuni.
 
viwanja kigamboni geza ulole vina hati vipo vingi kila square meter ni 15000 ukubwa wa viwanja ni kuanzia square meter 300 mpaka square meter 2000 ukihitaji nipm
 
Kwa wanaohitaji usafiri wa kupeleka watoto shule wa kukodi au kununua wanione (0713-039875)
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.38.49.jpeg
    WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.38.49.jpeg
    101.5 KB · Views: 49
  • WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.40.10.jpeg
    WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.40.10.jpeg
    72.4 KB · Views: 50
  • WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.40.45.jpeg
    WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.40.45.jpeg
    76.3 KB · Views: 50
  • WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.39.39.jpeg
    WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.39.39.jpeg
    107.7 KB · Views: 42
  • WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.37.09.jpeg
    WhatsApp Image 2017-05-06 at 12.37.09.jpeg
    41.9 KB · Views: 53
Banda hilo M16 tu lipo kisemvule nicheki 0718097972
 

Attachments

  • IMG-20170121-WA0009.jpg
    IMG-20170121-WA0009.jpg
    55.8 KB · Views: 76
Nyumba inapangishwa kiseke ppf mwanza,master 1, rooms mbili, kitchen,public toilet,sitting room. Bei laki mbili kwa mwezi
 
Back
Top Bottom