Kwa wanaohitaji fursa ya kujiongezea kipato jaribuni hii

supernic

Member
Oct 19, 2012
19
7
Hi members
Ninaomba ku share na nyie pamoja hii kitu.
Kwa muda mrefu nilikuwa ninajaribu kutumia muda wangu mwingi wa ziada kujaribu kujiongezea kipato kwa kutumia internet (home business) sikufanikiwa matokeo yake ni mekutana na website nyingi ambazo zinakutaka kuwa na kiingilio cha kuanzia $25 hadi $600. Bahati nzuri nilikutana na link humu JF nikaamua kuifuatilia.nilikutana na hii linkReal Internet Income Hakika hawa jamaa wapo vizuri, hawahitaji hela yako, kinachotakiwa ni kufanya kazi na wewe kupata commission yako. Kwa hiyo mtaji wako ni muda na internet. Na hii siyo ile wanayoita get rich quickly. Ukiwa na concept hiyo hutafanikiwa, unahitaji kujifunza na kuielewa biashara unayofanya. Kwamfano mimi nilianza kupata commission baada ya miezi miwili. Inahitaji muda na kujifunza. Kwa wale wanaotafuta fursa za kujiongezea kipato wajaribu hiyo. Hauitaji kuwa na fedha wala bidhaa zakuuza ni muda wako, uelewa na gharama za internet. Jaribuni then wengine watuletee feedback. Link ni Real Internet Income
 
Kuhusu kiasi ninachopata hiyo ni personal. mimi nimejaribu tu kuwashirikisha wenzangu. kwa anayetaka kujaribu kumbuka kipato kitatokana na juhudi za mtu binafsi. hakuna formula kuwa unapata ngapi
 
Haiko hivyo mkuu. Unapojiregister Mwezi wa kwanza na wa pili ni free hawakucharge kitu na ni rahisi kupata hizo 1500 VP credits lakini kuanzia mwezi wa tatu watakuforce ulipe TC credits to get your 1500 VP points kwa huo mwezi wa tatu. Kuanzia hapo sasa ndio utakapoanza kulia. Nakushauri stay away na hizi online marketing most of therm are scum. Watu wanao benefit na hizi ni waanzilishi I mean managers. Its a scam mkuu. Ni ushauri tu lakini ila kama unaona itakutoa endelea tu.[FONT=myriad-pro, sans-serif] [/FONT]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom