Kwa wanachadema tu

Chadema nao waache kubebana kindugu vinginevyo hawatakuwa na tofauti yoyote na ccm . Ndesamburo,mtoto wake,mkwe wake,Tundu Lissu na dada yake Christina Lissu wote mjengoni na hapo wana viti 40+ tu.
 
Kuwasikiliza ni muhimu ili kujua mipango yao na hila zao kwa undani. Hii itasaidia kupanga mikakati ya kukabili ufirauni wao. Au umesahau kuwa kabla ya kumshambulia adui lazima umjue vema, la sivyo atashindwa vita. Tusiwe kama ccm ambao hata kilichomo katika rasimu "yaq" ya katiba mpya hawakijui, wamebaki kutaja CDM, Wanaharakati, ITV.........
 
Tunawasubiri huku uraiani tutaimba nao waache waendelee kutuzidishia hasira mwisho wao umefika na utakua mbaya na waaibu kuliko wa gadafi watu wazima hovyo kabisa nikiwaona magamba najisikia kutapika

kumbe wewe unahisi kutapika mie nahisi kwenda chooni kwa 2mbo la kuhara. Tuwasubiri 2015 watapata mavuno yao.
 
kumbe na wewe ni mwana cdm ila kigeugeu
wewe babu,namawazo yako mgando.hapa jamvini mpo watatu tu sisim.hadi 2012 nawewe utakuwa umesha tuelewa maana kichwa yako ni jiwe,ndipo utachukua maamzi magum.ya kuingia cdm.
 
Back
Top Bottom