Hamjui mlitendalo. Akili zenu ni sawa na hao wabunge wenu wanaosusia vikao halali vya bunge.
Chadema wameenda bungeni ili kuonyesha umaarufu wa kupinga.
Mtu anayetoa wazo kwa kuishabikia ccm ananifanya nahisi nimeingia choo cha stendi au kama nipo kuzimu,Ni lini macho yatawafunguka watanzania wanaoshabikia wakati wanaishi maisha ya kuwasupport mafisadi waendelee kuishi maisha ya paradiso?? Aibu kwako uliyejiita mzee hadi umekuwa na mtazamo wa kizee kwa karne isiyohitaji mawazo ya kizee.Hamjui mlitendalo. Akili zenu ni sawa na hao wabunge wenu wanaosusia vikao halali vya bunge.
Chadema wameenda bungeni ili kuonyesha umaarufu wa kupinga.
Kwa maoni yangu wanachadema wote ni heri kutokuangalia bunge maana chadema imetukanwa sana na wabunge wa ccm A na ccm B. Kweli Mungu turehemu sijui tunakoelekea.
Mkuu hii topic haikuhusu bana,Hamjui mlitendalo. Akili zenu ni sawa na hao wabunge wenu wanaosusia vikao halali vya bunge.
Chadema wameenda bungeni ili kuonyesha umaarufu wa kupinga.
Hamjui mlitendalo. Akili zenu ni sawa na hao wabunge wenu wanaosusia vikao halali vya bunge.
Chadema wameenda bungeni ili kuonyesha umaarufu wa kupinga.
Wao wenyewe ni zaidi ya tusi, hvy hata wakitukana haitupunguzii kitu na wala hatutaacha jitihada za kulikomboa taifa
MKUU UMELEWA? au unamakengeza?nimegundua kuwa watu tunatofautiana kufikiri hivyo c kosa lako ungejua ukisemacho hata kichaa hawez kusema. CHADEMA endeleen mckate tamaa tupo pamoja na ktk ukomboz visiki ni kawaida hivyo jitahidin k kuvivuka. pia endeleen na mapambano.
Mtu anayetoa wazo kwa kuishabikia ccm ananifanya nahisi nimeingia choo cha stendi au kama nipo kuzimu,Ni lini macho yatawafunguka watanzania wanaoshabikia wakati wanaishi maisha ya kuwasupport mafisadi waendelee kuishi maisha ya paradiso?? Aibu kwako uliyejiita mzee hadi umekuwa na mtazamo wa kizee kwa karne isiyohitaji mawazo ya kizee.