Hii ni 1993! Sijui yupo wapi kwa sasa...ila likely akawa ameshastaafu au anakaribia kustaafu.... head master nkondokaya anachomewa nyumba.
Tumaini University..2005-2008 maisha yalikuwa Poa sana ...nimepamiss sana Iringa ..
Sent from my BlackBerry 9700 usi ng JamiiForums
mkuu mi wa IsupiloNimesoma iringa ,dabaga kata ya idete huko kilolo kijiji cha itonya ,mpaka darasa la tano,nikahamia ifunda kijiji cha itengulinyi, mpaka darasa la saba ,nikajiunga na donbosco mafinga,nikafukuzwa cos ya ulanzi.nikaenda mafinga seco school miaka mnne,ulanzi na mkalifya sanaaaaa.......
kisoma alishafariki aisee. Alikuwa jirani yangu pale kwa mama mary.Nimesoma Lugalo sekondari Alevel 2002-2004. Nakumbuka kihesa chips za kisomaa tamu balaa. Iringa nilipapenda
ha ha haaa mzima ww?tumaini university 2008-2011, nilipanga semtema ila ctasahau nondo looh wezi sana vijana wa pale ila napamiss hasa hotel ya chaula
Umenikumbusha mbali sana chama letu kubwa la pomerini enzi za miaka ya 1990s chipsi za kwa dononda ,kuoga na kufua maporoko , na mwalimu wetu ngogo kuamka saa 11, kweli kile kilikuwa kama kituo cha jkt
nyie ndo A level wa kwanza lugalo,nakumbuka tuliwapa tabu, kuna mwenzenu alikuwa anaitwaga fredy tulipiga asee, ule ugomvi ulikuwa mkubwa pale lugalo, ila totoz za level zilikuwa nzuri tukawa tunajimegea tu wacha mtuchukieNimesoma Lugalo sekondari Alevel 2002-2004. Nakumbuka kihesa chips za kisomaa tamu balaa. Iringa nilipapenda
Kwetu kalenga;bagia zile ukitowelea na ulanzi.nikaja kusoma mwembetogwa na highland sekondsri nilikomkuta chizi mmoja aliyejiita mwalim Chodota.alikuwa anapiga balaa na alikuwa anavaa mashati ya kike bila kujijua- blauzi.siku moja tukiwa mistarini na yeye akiwa mbele yetu alisema kwa sauti kali kama radi,'nasikia kuna watu wanasema mimi navaa blauzi.nikivaa mimi ni shati,akivaa mama yako ni blauzi.'