BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,041
Nakumbuka wali wa nelkon na andazi la mama uswege pale makanyagio miaka ya 1995 mpaka 97, ulanzi kule wilolesi
Andazi la mama uswege nililipiga picha hadi sasa ninayo. Umenikumbusha mbali sana aisee!