Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

ndg zangu waungwana wa mitaa ya ujamaa,azimio,jitegemee mapinduzi/muhimbili wazee wa zeal nk,habarini za jamvini humu.samahani tuna mpango wa kufanya sherehe ya waliowahi kuwa wanafunzi wa mpwapwa sec.

Tutakuwa na mengi ya kuongea ikiwa ni pamoja na kujuana,kuwa na umoja wa kushauliana mambo mbalimbali na kubwa zaidi kukaa na kukumbushia those back days when mpwapwa secondary school was a school. Si mnakumbuka wakati wa "kulevolaizi" barabara yetu ya bb na mambo mengine meeeengi.

Sherehe kama hii tuliifanya dar 2009,na sasa nafikiri ni wazo tuifanye mwanza then we gotta figure out wapi next.au vipi.tuwasiliane kwa namba za simu ili tutafutane.mwenye namba ani-pm pls.
Cheers

dah! Ebana eeh. Umenikumbusha mbali kidogo mkuu. Mi sijasoma mpwapwa sek. Ispokuwa nimefundisha mpwapwa ttc na mpwapwa sek nimefundisha kama nusu mwaka hivi. Nilikuwa pale kama part time teacher nikifundisha jografia one,alipokuja mwalimu full mwajiliwa nikasimama. Ni bonge la chama lile,wakati huo (2006-2008)mkuu wa shule alikuwa mr. Naali.

Nilienda mpwapwa ttc kama post yangu ya kwanza ya kazi baada ya kumaliza chuo.
Uzi huu umenikumbusha maisha ya mpwapwa,maisha halisi ya kitanzania. Nakumbuka sana mitaa ya igovu,kibakwe,mwanakyanga n.k.pamoja sana mkuu!
 
dah,wengine tupo dar,ila big up....pamoja sana.....mi nilimaliza 2004,enzi za Naali na itozya.....
 
dah! Ebana eeh. Umenikumbusha mbali kidogo mkuu. Mi sijasoma mpwapwa sek. Ispokuwa nimefundisha mpwapwa ttc na mpwapwa sek nimefundisha kama nusu mwaka hivi. Nilikuwa pale kama part time teacher nikifundisha jografia one,alipokuja mwalimu full mwajiliwa nikasimama. Ni bonge la chama lile,wakati huo (2006-2008)mkuu wa shule alikuwa mr. Naali.

Nilienda mpwapwa ttc kama post yangu ya kwanza ya kazi baada ya kumaliza chuo.
Uzi huu umenikumbusha maisha ya mpwapwa,maisha halisi ya kitanzania. Nakumbuka sana mitaa ya igovu,kibakwe,mwanakyanga n.k.pamoja sana mkuu!
 
naomba msaada waungwana ,nikitaka kutuma new thread mimi binafsi nafanyeje? manake nina thread za kutosha ili sifahamu nianzie wapi. nimeishia kukoment za wengine
 
Mayenga hivi unakumbuka mwl.Itozya alivokutishia na mgobore wake mwaka 2002!
 
naomba msaada waungwana ,nikitaka kutuma new thread mimi binafsi nafanyeje? manake nina thread za kutosha ili sifahamu nianzie wapi. nimeishia kukoment za wengine

Angalia hapo juu,kuna sehemu imeandikwa new posts.
 
dah! Ebana eeh. Umenikumbusha mbali kidogo mkuu. Mi sijasoma mpwapwa sek. Ispokuwa nimefundisha mpwapwa ttc na mpwapwa sek nimefundisha kama nusu mwaka hivi. Nilikuwa pale kama part time teacher nikifundisha jografia one,alipokuja mwalimu full mwajiliwa nikasimama. Ni bonge la chama lile,wakati huo (2006-2008)mkuu wa shule alikuwa mr. Naali.

Nilienda mpwapwa ttc kama post yangu ya kwanza ya kazi baada ya kumaliza chuo.
Uzi huu umenikumbusha maisha ya mpwapwa,maisha halisi ya kitanzania. Nakumbuka sana mitaa ya igovu,kibakwe,mwanakyanga n.k.pamoja sana mkuu!

Dah!Shikamoo Mwalimu!
 
Mimi nimelipenda hili wazo ila ningeshauri sherehe hizo zifanyike mpwapwa na kama itawezekana tufanye harambee ili fedha zitakazo patikana zi karabati bweni moja. Mimi nilisoma Mpwapwa mwaka 2000-2002. Sisi tukiwa wanafunzi wakwanza wa A'level na tulioweka historia ambayo haijapata kuwekwa toka shule hiyo ianzishwe. Ninaipenda sana shule yangu ya Mpwapwa na nimelipenda hili wazo la wana Mpwapwa nasikia kuna watu maarufu tu na majina yao walisoma pale pia akina Tido,Ndeleja,Nkamia
 
umenikumbusha ule mbuyu ktk nembo ya mp sec,mzee mazengo pairoti aliyeacha kazi hiyo kwa matatizo ya macho enzi hizo akiwa ndio mkuu wa shule,pembeni namwona bwana pima m/kiti wa ccm wilaya mp,mama pima naye kwa kimombo we acha tu,
kulikuwa na jembe moja pale mp ni soo,nimelisahau jina,likionekana tu tayari mjiandae kupigwa fimbo kwa mtindo wa chuma mboga,pale njiani karibu na kiwanja cha mpira namwona mzee wa majigambo,mzee wa kilimo huwa achani nywele zake na hana staha kabisa hamwogopi yeyote yule,kuna kifaa kilikuwa kinatema ngeli nzito sana nasikia kwa sasa ni mkuu wa shule huko pwaga
kitambo sana maeneo hayo

Huyo aliyekuwa anachapa sana ni mwalimu Rugambwa, mwenyekujigamba Msamila na anaetama ngeli Ngoitanile. Wote walikuwa walimu wangu Mpwapwa was one of the good school.
 
jumba la maendeleo, manase mpaka chuo cha liti navijuwa, ingawa tulihama kule nikiwa mdogo sana. my late father alikuwa anafanya kazi TALILO! kule kikombo, na mamaangu pia. Tulikuwa tunakaa kikombo ile njia ya vianze, baba alipofariki ndo tukahama! maeneo kama ilolo, ng'ambo, bumila n.k nayakumbuka. Daaaaahhh mpwapwa pananikumbusha sana babaangu. Hakuna sehemu nshawahi kula nyama na maziwa kama mpwapwa!

Mkuu kule kituo cha utafiti mifugo kikombo huwezi amini kama ni Mpwapwa.Kituo kimezungukwa na milima ikiwemo milima ya kiboriani ambayo wakazi wake wanazalisha viazi mviringo natural,viazi vitamu, mahindi nk.Kuna hali ya hewa nzuri,ukijani nk. Nimeishi kama miaka kama miaka 27 hivi wazazi wakiwa wanafanya kazi huko.Kwa kweli Tanzania imebarikiwa sana kuna hazina nyingi sana za kujivunia but i wonde why we are still poor.
 
Back
Top Bottom