Kwa walioikimbia Kagera/Bukoba na kuwa wanyamahanga......mmekosa hii kitu!!

View attachment 51447

Siku hizi Bukoba na maeneo mengine hadi vijijini ndani mziki marufuku kupigwa kwa kutumia radio casseti,au deck ya cd, Sharti uwe na Desktop au Laptop!!!! Ukijichanganya ukashikwa na mtendaji huna advanced computer utakoma. Na lazima Computer iwe na RAM kubwa kusudi usichelewe kuweka nyimbo za Saida!!!

mbwenuuu! Iwe ! Sasa hapa umetupiga fix bojo, hapa umekuwa muhaya zaidi, maweeee kyoma iwe achaga sifa za kakashozi kikanyigo
 
View attachment 51447

Siku hizi Bukoba na maeneo mengine hadi vijijini ndani mziki marufuku kupigwa kwa kutumia radio casseti,au deck ya cd, Sharti uwe na Desktop au Laptop!!!! Ukijichanganya ukashikwa na mtendaji huna advanced computer utakoma. Na lazima Computer iwe na RAM kubwa kusudi usichelewe kuweka nyimbo za Saida!!!

hapa ni pande zipi mkuu?
nimependa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom