Kwa walioikimbia Kagera/Bukoba na kuwa wanyamahanga......mmekosa hii kitu!!

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,732
IMG_0199.JPG

Jamani hiyo kitu inaitwa ntuntunu............yaani ukiiila hiyo sijui nikwambieje...........siku moja moja mrudigi nyumbani.


IMG_0200.JPG

Kwa kweli ukishushia na " Kantu kaitu kaila" a.k.a Nkonyagi kwa kweli huhitaji la zaidi kufurahi kijijini huku.


IMG_0125.JPG

Maandalizi ya Nsanyuse sasa hapo............loh ngoja iive uone.
 
IMG_0215.JPG

Siku hizi Bukoba na maeneo mengine hadi vijijini ndani mziki marufuku kupigwa kwa kutumia radio casseti,au deck ya cd, Sharti uwe na Desktop au Laptop!!!! Ukijichanganya ukashikwa na mtendaji huna advanced computer utakoma. Na lazima Computer iwe na RAM kubwa kusudi usichelewe kuweka nyimbo za Saida!!!
 
IMG_0238.JPG

Siku hizi huku kwetu wahaya washabiki wa MAN UTD wanachapisha jezi zenye majina yao ya asili japokuwa wengine wanayamodify kidogo...Kama huyo Jamaa anaitwa "BUBERWA" lakini yeye kamodify jina eti aitwe 'BUBE" mchezaji wa Man utd kutoka Bukoba Loh!!!
 
Umenikumbusha kwetu Karagwe Wanyambo tunapenda sana hizi, lakini nina miaka zaidi ya 20 tangu nizionje da. Unajua tukienda mara nyingi tunakuwa na muda mfupi kukumbuka mambo mengi sana yakiwemo hayo matunda
 
Umenikumbusha kwetu Karagwe Wanyambo tunapenda sana hizi, lakini nina miaka zaidi ya 20 tangu nizionje da. Unajua tukienda mara nyingi tunakuwa na muda mfupi kukumbuka mambo mengi sana yakiwemo hayo matunda

Ukija hakikisha unakaa migombani
 
Migombani nakaa lakini sio rahisi kukumbuka mambo mengi ya miaka mingi iliyopita
 
ulikuwa umeenda kuoa nini mkuu....
karibu sana Moshi.....

Preta ndugu yangu si uko Leaders? au unaondoka na pipa baada ya Mazishi? Nakukubali kwenye updates unazotupa madam. Hakuna Harusi hapo bali ni pasaka ya pili majirani tuliamua kupikia sehemu moja na kupiga mtungi basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom