Kwa waliofukuzwa udsm jaribu hii

len

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
201
116
Bora wakafungue tuition centre. Walipewa nafasi wakashindwa kuzitumia.
 
we jamaa huna akili kabisa. Tatizo hujui kinachoendelea hapa UDSM. Kama unafikiri walikuwa ni wajinga, wewe huna akili totaly, ndio maana ulidisko.
 
Hilo mbona bwabwa kila cku linaongea pumba tu jamvini,nyambafu
 
we jamaa huna akili kabisa. Tatizo hujui kinachoendelea hapa UDSM. Kama unafikiri walikuwa ni wajinga, wewe huna akili totaly, ndio maana ulidisko.

kumbe nilidisco. Jitahidi na wewe usije uka disco kama mimi.
 
Back
Top Bottom