Kwa walio DAR- Tech assistance provided

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,288
3,320
Kazi ya Jamii Forums sio tu kupashana habari, Social Networking,nk. bali pia kusaidiana pale inapowezekana.

Nimeona watu wana shida ndogo ndogo katika masuala ya technology upande wa Computer(Laptop and Desktop) na simu hivyo naona sio mbaya nikitoa mchango wangu.

Nipo hapa Sayansi- Kijitonyama kama una shida yoyote ya computer au simu sanasana upande wa software( kudownload program/software hata movie/music,instal na uninstall software,virus problems etc) unaweza kuwasiliana na mimi na kama unaweza kuja pia hakuna tatizo.

Sitozi gharama yoyote unless kuna kitu cha kununua, naamini nikitatua tatizo la mtu na mimi ninakuwa nimejifunza kitu.

Wadau kama C6 Mwl.RCT @njunwa wamavoko @shiny c na wengineo pia wanaweza kuendelea kutoa msaada kadri ya uwezo wao.
 
Blessed is the hand that giveth, than the one that taketh.

Unajua kwa kasi ya teknolojia inavyokua haraka, unavyokumbana na changamoto mpya ndio zinakufanya uzidi kuwa mtaalam zaidi.

Ubarikiwe ray05
 
Last edited by a moderator:
Ingeweka namba za simu tukutafute au ni Pm namba zako ninashida katika simu yangu
 
its impractical ray05 unless you have ulterior motive!
 
Last edited by a moderator:
its impractical ray05 unless you have ulterior motive!

its practical. its possible ila sio as free as hana shughuli zingine zaidi ya hiyo...

character moja ya expert ni kujitolea kufanya vitu vya field yake bure... hii itaongeza imani kwa clients. sio kila kitu una mdai mtu hela. ukimsaidia mtu next time atakuja kama atakuwa na tatizo kubwa...

vitu vidogo vidogo km kumsetia mtu internet kwenye simu au kumuwekea mozilla firefox kwenye pc yake sio tatizo...
 
Last edited by a moderator:
wakuu na mm natoa hii ofa kwa member yoyote wa jf
nina mashine ya kupimia magari /DIAGNOSIS MACHINE kwa yeyote yule nitampimia bure na kumwambia kuwa gari yake inamatatizo gani na kumpa rist ya fault zilizopo kwenye gari yake ni nini na nini kibovu au shida ni nini.

lakini kama atataka nimtengenezee mimi hapo itabidi tuelewane na kama tatizo litahitaji spea hiyo ni juu yake.
mm napatikana sana sana mwenge na sinza ila popote kambi.
ofisi yangu namba 1 ni sim na ya 2 ipo mwenge.
kama utataka nikufuate popote ulipo hapo sasa inabidi sasa garama za nauli uhusike hata kama utakuwa mkoani nauli na chakula maradhi itabidi unigaramikie mimi nakupa huduma ya kukupimia bure tuu.

kwayeyote atakaye kuwa na shida namba yangu ni 0717 228064.

msiogope kama unafundi wako ww njoo nae mm nawapimia fundi wako anakwenda kukurekebishia.
 
its impractical ray05 unless you have ulterior motive!

Mimi nafanya kazi na nipo busy but doesnt mean ukiniambia nikuwekee software fulani kwenye machine yako nitashindwa,au what do you mean by 'impractical'? Mimi sio kwamba natafuta wateja au vipi, NO!!na ndio maana nimesema ambacho kinawezekana kitafanyika. Tuache mawazo mgando watanzania,ndio nyie nyie watu jirani yako anakuja kwako asubuhi anakuletea vitumbua viwili na kukuambia "jirani karibu chai nimepika vinne hivyo sio mbaya tukishare" wewe unaingia ndani na kuvitupa kwenye dustbin huku ukimwambia mkeo "hivi vitumbua atakuwa ameweka hata sumu,hawezi kutupa burebure hata hatujamuomba huyu atakuwa sio mtu mzuri kabisa".
 
Last edited by a moderator:
Mimi nafanya kazi na nipo busy but doesnt mean ukiniambia nikuwekee software fulani kwenye machine yako nitashindwa,au what do you mean by 'impractical'? Mimi sio kwamba natafuta wateja au vipi, NO!!na ndio maana nimesema ambacho kinawezekana kitafanyika.

Do you see why I said what I said?

Tuache mawazo mgando watanzania,ndio nyie nyie watu jirani yako anakuja kwako asubuhi anakuletea vitumbua viwili na kukuambia "jirani karibu chai nimepika vinne hivyo sio mbaya tukishare" wewe unaingia ndani na kuvitupa kwenye dustbin huku ukimwambia mkeo "hivi vitumbua atakuwa ameweka hata sumu,hawezi kutupa burebure hata hatujamuomba huyu atakuwa sio mtu mzuri kabisa".

Haya yote yametokea wapi? Kwani ugomvi? Hakuna mahali ktk post yako umesema unafanya kama hobby part time. That makes the whole deal impractical. Kama ungesema kuwa uko busy na unafanya ktk spare time hakuna ambaye ange question.

Tusipende kupigiwa makofi kila kitu!

its practical. its possible ila sio as free as hana shughuli zingine zaidi ya hiyo...

character moja ya expert ni kujitolea kufanya vitu vya field yake bure... hii itaongeza imani kwa clients. sio kila kitu una mdai mtu hela. ukimsaidia mtu next time atakuja kama atakuwa na tatizo kubwa...

vitu vidogo vidogo km kumsetia mtu internet kwenye simu au kumuwekea mozilla firefox kwenye pc yake sio tatizo...
Kujitolea sio issue. Issue ni kuwa kama ingekuwa full time work then ingekuwa unsustainable and hence impractical.
So helping, Yes thats good but what do you make for living. There is a point!
 
wakuu na mm natoa hii ofa kwa member yoyote wa jf
nina mashine ya kupimia magari /DIAGNOSIS MACHINE kwa yeyote yule nitampimia bure na kumwambia kuwa gari yake inamatatizo gani na kumpa rist ya fault zilizopo kwenye gari yake ni nini na nini kibovu au shida ni nini.

lakini kama atataka nimtengenezee mimi hapo itabidi tuelewane na kama tatizo litahitaji spea hiyo ni juu yake.
mm napatikana sana sana mwenge na sinza ila popote kambi.

naweza check Ceres na hii mashine yako? There are few issues with it!
 
ya mwaka gani ww njoo tu mkuu hata kama itakuwa haina socket ya obd 2 ya 16 pin basi itakuwa na obd 1 hakuna linaloshindikana chini ya jua.tutaipima hata kimanual manual
Nitakutafuta boss!
 
Back
Top Bottom