Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

siwezi kuja kusema tukio moja lilitokeaga _____ tareh 21 mwezi 5 mwaka 200_ na kusababisha kifo cha _____ aliyekuwa maharufu sana jijini ____

jiji lilizima baada ya taarifa za kifo cha _____ kusambaa huku ikisemekana ni majambazi ndio wamemuuwa na hawakuiba chochote

huku polisi wakisema ni tukio la ujambazi yaani hit and run kumbe hata wao hawajui ukweli


ukweli wa lile tukio ni kwamba vijana wa_____ ndio walihusika na mimi kipindi hicho nilikuwa nakaa pale_____ i used to call em bro's/uncles nao wakiniita _____ jr au dogo

walijiamini nini sijui kuongea mbele yangu nahisi ni sababu waliona ni kijana wa __ mwenzao so siwezi kuwa a threat au one day nitawajoin Katika___

nilikuja kugundua ilikuwa ni _____ task na ngoja iendelee kuwa hivyohivyo cha muhimu uhai tu
Huo ushamba, sasa unaweka code ngumu hivi kama ulikuwa hutaki watu wasijue si usingesema tu? Acha ushamba, funguka watu wajue. Ulichofanya ni ushamba!. Mbona wamelawitiwa na wameongea humu. Hujiamini na nina mashaka mke wako anakupelekesha sana.


Mshana Jr BICHWA KOMWEE DeepPond Detective J jamani nawaomba mje, nimewaita kwa heshima na taadhima, ili muweze kunifahamisha ni nani maarufu aliuawa anayezungumziwa hapa. Ikiwa mnafahamu, ili wengine tuongeze maarifa na historia pia. Ahsanteni sana
 
Kuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho, sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa.

Sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita.
Dola 200?!!!!🙄🤔
Aisee like serious 200
Eeh🙌🙌
 
Yan hapa amna aliyetoa siri hzi zoote n kawaida ila kila mtu anayo kubwa kuliko asikwambie kila mtu anaoukurasa wake ataki usomwe kwa sauti hata iweje hyo inabaki kuwa aibu yake milele
 
Back
Top Bottom