Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Nilimgegeda shemeji yangu,bro alikuwa masomoni .siku hiyo shem aliamua kunipa offer ya bia,tupo bar huku yupo mbwi Mara ashike rungu langu,Mara Shem umejaliwa una dude kama la punda.sasa ningefanya je wakati shetani alinishikia kisu akinilazimisha nimgegede Shem.mwaka nne kimya Na sitaki hata kumuona Shem.
Sio wanawake wote ni wakuoa

Mungu nisamehe
Shetan kakushikia kisu sio😀😀
 
Kiufupi na wewe lazima mkeo ataliwa tu na hutakuja kujua...
 
Mimi siri yangu ambayo iko moyoni na inanitesa ni kumla mke wa jirani yangu na kumpa mimba(Zamani lakini) mpaka leo nikimwona jamaa huwa najutia sana, kweli kutoka moyoni najutia sana kitendo kile japo mkewe alikuwa mzuri sana
Mtoto yupo wapi?
 
Wakati nipo secondary Mshua alikua busy sana harudi home hata miezi 6,wakati alikua anarudi kila ijumaa,kazini kwake mbali,,baba mdogo akanipa SIRI NYOKO kua baba yako kaoa mwanamke mwingine ndo maana harudi kabisa,,ila usimwambie mama yako..nikatunza siri miaka lundo,.,mwaka juzi namwambia bi mkubwa siri hiyo,anasema "Najua kitambo,labda kabla yako,nilikausha kama sijui"
Bi mkubwa wakonhakutaka kumpambania bwanake arudi? Alimuacha aende?
 
Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya.
Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri.
Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi kushuhudia mtu anabakwa wakakaa kimya.
Kuna waliowahi shuhudia mtu au mke wa mtu anatembea na mwanaume mwingine wakakaa kimya.

Mi siri yangu ambayo sitakuja kuisema ni kamba nilimfumania mjomba mkubwa akiwa anatembea na mke wa mjomba mdogo alafu wakajua kwamba nimejua sikuwahi kuisema ilikanusha, yapata miaka 20 sasa.

Leo kuna rafiki yangu amenambia kwamba akiwa mdogo alimuua mtu akiwa Croatia mwaka 1994, na hakuna aliyejua.

Mwingine (dr) akasema kuwa amewahi kumuinject mgonjwa UKIMWI kupitia syringe, na akakaa kimya maana alilipwa hela ya kutosha.

Najua na wee una siri umetunza tudokeze.
Sitoi siri
 
Yuko na mama yake, last time kuwasiliana naye alisema kagombana na mme wake hivyo kasepa, kutoka hapo sijawahi wasiliana naye tena so sijui kipi kinaendelea
Kwa hio unasubiri mtoto akuwe na jamaa amlee na mtoto afanikiwe ndo ukajitabulisha kwa mtoto??????
 
Tukiwa wapangaji wote kwenye nyumba flani hv, kuna mpangaji mmoja alikuwa mnoko sana maana ye alikuwa ndio mkusanyaji kodi na kumpelekea bosi. Sasa mpangaji huyu akajisahau akawa ana tutriti kama ye ndio bosi.

Nilikuwa na kibaisikeli changu cha gia cha kuendea kazini, sasa kilikuwa kinalala koridoni na pikipiki zake mbili aina ya triller ilikuwa ni lazima baiskeli niingize saa tano usiku wakati wa kulala na kutoa ilikuwa ye ndio anatoa maana alikuwa anawahi kuamka ili atoe vitu vyake vya duka lazima aanze pikipiki zake na baiskeli yangu

Sasa kuna siku nilisafiri kama siku mbili hv kurudi baiskeli sikuiona kumuuliza akanijibu hiyo baiskeli nilimwachia? Au kuna sehemu tuliandikiana kuwa nimemkabidhi? Nikapiga kimya upelelezi wangu nikagundua aliiuza buku 50, nikamfata dogo aliyeuziwa nikampa 50 yake nikarudi ghetto sikutaka kwenda polisi wala nn, alipoiona ghetto akauliza ehh umeipata nikamjibu si unaiona hapo

Baada ya mwezi niliamka saa 7 usiku na pakiti 4 za chumvi nikafungua tank za pikipiki zake nikamwaga ilipofika asubuhi pikipiki haziwaki hadi nahama pikipiki ziko stoo na kutu la kutosha aliogopa kuniuliza maana najua gereji walimwambia nini kilikumba pikipiki zake
Angejua ingekukua hatari
 
Hatari
 
Back
Top Bottom