Kwa wale wa wake/wame za watu.

Vodka

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
906
96
Jamani kama unajua ulishawahi kutembea na mume/mke wa mtu we sema tu. Hata kama ukataja/usipotaja na jina lako halisi sie tunachokuomba uombe msamaha kwa mhusika, kwani ni moja ya toba utakayoifanya hasa wakati huu wa kumalizia kwaresma.
 
Kuna haja ya kuomba toba hali pasaka nina miadi na mke wa mtu?
Tena usinilaumu inakua kama namtendea wema, huyo mwanamke
akifika kwangu wallah utadhani hajawahi kunwa anavolalamika.
 
Mwanamke ndiye anaye yakiwa kuomba msamaha kwani hawajui kama wameolewa? Hapa hakuna cha kuomba msamaha
 
Jamani kama unajua ulishawahi kutembea na mume/mke wa mtu we sema tu. Hata kama ukataja/usipotaja na jina lako halisi sie tunachokuomba uombe msamaha kwa mhusika, kwani ni moja ya toba utakayoifanya hasa wakati huu wa kumalizia kwaresma.

Jina lako tu litakosesha wengi iman ya kuomba msamaha!
 
Kuna haja ya kuomba toba hali pasaka nina miadi na mke wa mtu?
Tena usinilaumu inakua kama namtendea wema, huyo mwanamke
akifika kwangu wallah utadhani hajawahi kunwa anavolalamika.

Mgeni weeee!
Maneno hayo!
 
Mi nadhani na wale ambao tumefumania,waume na,au wake zetu au kujua kwa mtindo wowote na tukawasamehe na tunaendelea kuishi nao,nasi tutaje...

Ama mwaonaje? Speshale kwa mtoa uzi lakini..
 
Back
Top Bottom