Kwa wale wa wake/wame za watu.

Mhmm!!! Mimi ngoja ninyamaze maana nikisema zangu nitafunika wote na kuchukua tuzo ya uchakachuaji bora.
 
Jamani kama unajua ulishawahi kutembea na mume/mke wa mtu we sema tu. Hata kama ukataja/usipotaja na jina lako halisi sie tunachokuomba uombe msamaha kwa mhusika, kwani ni moja ya toba utakayoifanya hasa wakati huu wa kumalizia kwaresma.

mi mbona bado ninae na sitegemei kumuacha.....?
inaruhusiwa kuomba huo msamaha.....?

Jamani kama unajua ulishawahi kutembea na mume/mke wa mtu we sema tu. Hata kama ukataja/usipotaja na jina lako halisi sie tunachokuomba uombe msamaha kwa mhusika, kwani ni moja ya toba utakayoifanya hasa wakati huu wa kumalizia kwaresma.

wewe ushaomba kweli au ndio unajikosha tu kwetu!
 
Mi nadhani na wale ambao tumefumania,waume na,au wake zetu au kujua kwa mtindo wowote na tukawasamehe na tunaendelea kuishi nao,nasi tutaje...
Ama mwaonaje? Speshale kwa mtoa uzi lakini..
taja tu usiogope
 
Back
Top Bottom