Hilo neno "Rx" huwa linatumiwa sana na madaktari hasa wanapokuandikia dawa. Hapo zitakuwa code za mawasiliano. Huenda wanataka kuandamana hiyo July 14. Je kuna mwenye kuweza ku-decode hiyo habari? Na June 27 kilitokea kitu gani?

Danniair ungetufafanulia japo kidogo. Haya kwa wanaojua kazi kwenu ss maamuma tukae pembeni.
Danniair hapo nimekupata mkuu. Ahsante kwa taarifa yenye ujazo.