Kwa wale mliosoma kwa mkopo wa Bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu Tanzania, Angalieni Tangazo hili

Kaaazi kwelikweli, kukopa harusi kulipa matanga. Mla ndizi husahau ila mtupa maganda. Dawa ya deni ni kulipa. Hasira hazisaidii. Jamani lipeni na walio vyuoni wazipate. Kama wazazi wenu na nyie mnalipa kodi, basi ndo wakati muafaka wa nyie kulipa ili kodi itumike kiduchu kutolea mikopo. Visingizio nyenu eti mkachukue kwa esther oh mara ninalipa paye havina msingi. Acheni ubaradhuli, lipeni
 
Uzalendo sifuri Kabisa

Kila aliekopa kulipa ni wajibu sasa sio kila kitu tunakua Watoto usipolipa sheria itachukua mkondo wake na huyo nae atachukuliwa hatua km Esther sio wewe...

Suala hapa ni kuangalia utaratibu nzima kwa lengo la kuboresha na kujenga sio ku criticize kila kitu....mchango wetu ni nini ili tujenge uwajibikaji miongoni mwetu...

Kutokulipa deni ni Kukataa kuajibika na Nani unamtegemea awajibike Kama wewe hutaki kuwajibika?
 
Hawa bodi mmmmh. Imagne jina langu limeandikwa kwa waliograduate 2005 to 2009 ilhali mimi nimegraduate last yr
 
Mpaka sasa tangu nimeanza kukatwa ninadaiwa kama Laki 4 (After Makato ya January 2012).
Hata hivyo mimi ninawazo. Unajua hii ya kusomeshwa kisha kuja kulipishwa baadai ina walakini.
1. Ni magraduates wangapi wanapata kazi baada ya kumaliza elimu zao?
2. Je wale wanaojiajiri utaratibu ukoje?
3. Kwa kuifanya deni kwangu kunanipunguzia mori wa kulitumikia taifa kwa faida ya taifa. Kwa nini wasifanye iwe grants kwa maana ya kuwa wanakufunga kuwa you need to do something kwa nchi yako ilokupatia elimu na si kuilipa in monetary terms!!

Hata sijui nikiandikacho bwana ah!
 
Wakati mlipokuwa mnafanyia Starehe,kunywea pombe na kubambia Mademu mpaka wake za watu kwa ajili ya hizo pesa za Board mlijua ni za Kanisa au Msikitini kwamba hata kama msipolipa watamwachia Mungu? Dawa ya deni ni kulipa tuu sio kukwepa na nawashauri Board waweke Interest Rate iliyokubwa sana kwa yeyote anaeleta ujanja kulipa.
 
Their details shall be submitted to the Ministry of Home Affairs, Department of Immigration and all Embassies where they will be denied approval for travelling abroad.[/FONT][/COLOR] Loan beneficiaries who are self employed or unemployed are also required to provide such information.

Wadau hivi vipengele vimeshatungiwa sheria na kuanza kutumika au bado,kuna mwenye detail ya hapo kwenye pass
 
Wadau hivi vipengele vimeshatungiwa sheria na kuanza kutumika au bado,kuna mwenye detail ya hapo kwenye pass

Sio wote tunafurahia huu mtindo wa kufufua thread za zamani mtawaamsha serikali kusumbua watu bure!

Ningekuwa MOD ungekula BAN. Let the sleeping dogs continue sleeping!
 
Mpaka sasa tangu nimeanza kukatwa ninadaiwa kama Laki 4 (After Makato ya January 2012).
Hata hivyo mimi ninawazo. Unajua hii ya kusomeshwa kisha kuja kulipishwa baadai ina walakini.
1. Ni magraduates wangapi wanapata kazi baada ya kumaliza elimu zao?
2. Je wale wanaojiajiri utaratibu ukoje?
3. Kwa kuifanya deni kwangu kunanipunguzia mori wa kulitumikia taifa kwa faida ya taifa. Kwa nini wasifanye iwe grants kwa maana ya kuwa wanakufunga kuwa you need to do something kwa nchi yako ilokupatia elimu na si kuilipa in monetary terms!!

Hata sijui nikiandikacho bwana ah!

Of course I can see ulichoandika, binafsi pesa yao nitalipa lakini ningekuwa na mamlaka ningefanyia kazi maandishi yako mkuu!
 
Sio wote tunafurahia huu mtindo wa kufufua thread za zamani mtawaamsha serikali kusumbua watu bure!

Ningekuwa MOD ungekula BAN. Let the sleeping dogs continue sleeping!

No,kuna mdau mmoja aliweka uzi hapa mapema kutoka gazeti la Uhuru.Habari yenyewe hii hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kunyimwa-pass-za-kusafiria.html#post12646638

"Wahitimu wa vyuo vikuu ambao ni wadai sugu wa fedha za bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini,wataanza kunyimwa pass za kusafiri wanapotaka kwenda nje ya nchi kwa ajili ya kusoma au kufanya kazi katika nchi nyingine.

Chanzo:Uhuru la terehe 04/05/2015.

Hivyo na mimi nilichofanya nikujua hii kitu tayari inafanya kazi katika maeneo hayo.
 
Mlivokuwa mnazitafuna hamkujua kuna kulipa? Dawa ya deni kulipa..lipeni
 
Kwa ambao hamjaanza katwa kuweni makini na wa ajili wenu. wataleta form mjaze eti mwajili anazihitaji haraka kumbe ni loan board. nyambafu zenu mnanikata 54 elfu kwa mwezi wakati wezi wa fedha za serikali hawakamatwi
 
Uzalendo sifuri Kabisa

Kila aliekopa kulipa ni wajibu sasa sio kila kitu tunakua Watoto usipolipa sheria itachukua mkondo wake na huyo nae atachukuliwa hatua km Esther sio wewe...

Suala hapa ni kuangalia utaratibu nzima kwa lengo la kuboresha na kujenga sio ku criticize kila kitu....mchango wetu ni nini ili tujenge uwajibikaji miongoni mwetu...

Kutokulipa deni ni Kukataa kuajibika na Nani unamtegemea awajibike Kama wewe hutaki kuwajibika?

hapa mkuu ndo hua nawashangaa sana wabongo! unakuta mtu kila siku yuko bize kuikosoa serikali kwamba haitimizi majukum yake ila huyo huyo anachezea mita za tanesko, anajiunganishia maji kinyemela,, huyo huyo amekalia mkopo wa heslb hataki kulipa yani daaah!!!
 
Mimi hii hela SILIPI,
Katika hela zote ambazo serikali wamegawana nasikia uchungu sana kama Na hii pia nkiwapelekea.
Kwanza nkiwapelekea wataibuka kina Ester Budili wengine waile, wacha nikae nayo tu mwenyewe

huo utakua utapeli bwana,, kwani siku unasaini zile fomu ulikua unakubali kupokea pesa ya rambi rambi au mkopo aisee?? jitofautishe basi na hao uliowataja, unakua kama hunywi bange bwana!!
 
I am contemplating hatua za kuchukua kwa hawa kuchapisha majina yetu kwene orodha ya wadaiwa kwene public domain wakati tayari tunakatwa, tena majuzikati tu wameongeza makato bila hata kututaarifu. Hatuezi kuchafuliana majina kipumbavu namna hii. Watu tuna heshma zetu na tunachukuliwa kama mfano kwene jamii zetu, hatuezi ku-accept this reckless deformation na kupakana matope kama tupo kwene kilabu cha kangara.

sasa we endelea tu kuitukana serikali KWENE mitandao
 
am responsible to return mkopo ila kwa sasa wanisamehe kabisaaaaaaaaaa ... It does make sense kabisa kumpelekea mtu kama yule dada wa bodi ambaye ameweka majina feki na kupiga 91mil aisee au wewe nawe mfanyakazi wabodi nini unatetea ulaji ...
Sikatai kulipa ila mpaka ntakapo jihakikishia inaenda mikono salama ila not to this jeykei govt daaaaaaaah

wewe lipa bana acha utapeli kama yericko. Wakati unawapigia magoti kuomba mbona haukuwambia wakupatie kupitia mikono ilokua salama? wewe lipa tu ndugu yangu hilo la mikono salama sio kazi yako just don't be concerned!
 
mkopo tunaowadai tutawakata tu...na mtalipa tuu...!
atakayeleta ukaidi kwamba yeye ndo bora zaidi mwenye nguvu zaidi atafuatwa popote alipo na atalipa tu.
 
Back
Top Bottom