Tetesi: Kwa Wale Mafundi Simu Wenzangu Nimekutana Na Hii Kitu...

Acheni unafiki, maisha yanarahisishwa vipi na wewe na wewe kuweza Ku root simu yako?
Sio unafiki ila ni Kwa sababu Luna applications pendwa zinazohitaji root access kama vile firewalls ambazo kwangu binafsi ni msaada Wa kudhibiti data leakage kama mnavvyojua vibando vyetu vya kimaskini usipotumia firewall hutakuta hata byte 1. Mfano ili utumie avast firewall mpaka uroot simu na pia nikishaEnable hiyo kitu sioni annoying ads kwenye simu yangu. Mmmh eti unafiki bhabha.
 
Habari wakuu....

Msaada tafadhali.....

Simu yangu ni lg g3 nimejaribu kuflash baada ya kuona simu inapata joto sana na ilikuwa na kitkat 4.4.2. Nikajaribu ku-update ikagoma. Nikatafuta stock kuweka kumbe kuna mambo za activation na sim lock....kwenye kuhangaika kusolve hayo nikajikuta naflash modem na wrong image. Sasa simu ukiwasha inaingia download mode straight....hakuna recovery wala nini. Nikijaribu kuflash hata ikimaliza inajirudisha download mode. Any ushauri?

Asanteni
 
umeflash stock kwa kutumia software za pc? nafkiri ya lg inaitwa lg flash tool. hakikisha rom ni ya simu yako, kuna lg g3 nyingi sana hakikisha hio rom ni exactly model yako. cheki nyuma ya simu , kwenye box na kwengineko kuipata hio model
 
Yes hayo yote nimeyazingatia....ishu ilikuwa sim lock na activation....hayo ndo yamenipa mabalaaa
 
mkuu sasa hayo mambo ya activation si ilitakiwa iingie kwanza hio rom? ninavyofahamu simu ikiforce kukaa download mode inamaana haioni rom/bootloader kwa muono wangu bado rom hujaiflash
 
Rom iliingia na simu ikawaka ila ni ya Sprint(USA) sasa sikuweza kupata activation coz nilinunua kwa mtu....sasa nikiwa kwenye recovery kwa kutumia twrp ndo nikaflash modem....ilipowaka ikasema software imecorrut thn ndo dwnload mode....yaani....we acha tu kiongozi
 
rudia tena kuflash rom, then ikifika hio stage ya ku unlock ndio utafute ustaarabu mwengine,
 
Msaada kwenye custom flash count. Simu yangu imeshafikisha 19 sasa sijui kikomo ni ngapi na je, kama ikifika kikomo ni nini matokeo, au ndo tena sitaiflash au vipi.
 
rudia tena kuflash rom, then ikifika hio stage ya ku unlock ndio utafute ustaarabu mwengine,

Bana niliflash.....Mungu mkubwa imewaka....sasa nahangaika ku-unlock sim....nikiweza hilo naupgrade mpaka latest android haki ya nani.....
 
Msaada Tafadhal,, <br /><br />Natumi Huawei Ascend y330 lkn imeanza kunisumbua juzi .inaniletea maneno yafuatayo..

EmergencyData.

The user data partition cannot be used again,please select opertion as follows.

¤Backup

¤Factory data reset

¤Reboot
Yes.

Nikiselect moja kati ya hizo operation mf Factory data reset simu inazima then inajirud hapo hapo. Naomben kusaidiwa nateseka sana.
 
Hebu jaribu, wipe dalvick cache na cache partition sasa hapo pia inategeneana na boot recovery uliyo ila custom recovery ni nzuri au flash moja kwa moja Kwa kutumia program ya computer maana wakati mwingine hizi recovery zikikutana na dhoruba Kali huwa zinafeli.
 
Jamani kuna apps nyingi za Android lakini ukitafuta ussd code runner kuipata ni kazi sana, hii naihitaji Kwa ajili ya kuweka kwenye galaxy tab 10.1 maana haina hiyo kitu.
 
Usiogope root bado ipo pale pale watu wengi wenye Nexus 5x na 6p tayari wana root permission kwenye simu zao zenye Android Nougat.. Sijui labda tuagalie hizi Pixel (maana as far tunachojua simu tu za Verizon Pixel ndio zina locked bootloader so hizi tu ndio zitashindwa kuwa rooted) but unlocked version hazina shida
binafsi nimeshazoea kuroot hTC hivyo kabla ya yote ni lazima nianze kuUnlock Bootloader,
Je hizo zenye Locked bootloader ndo kusema kuwa huwezi kuUnlock?
Hakuna linaloshindikana wakati kuna tools kibao zenye option ya kuUnlock bootloader
 
Kweli Ni swala la mda tu hamna kinachoshindikana

Kama apple Kuna kipind walionekana ndio the best sasaiv yakowapi
 
Back
Top Bottom