kwa wale ambao tuliokua tukitumia (viroba) piteni hapa tushauriane kwa kuelekea

Kwa hili wamewaweza
Heshima lazima irudi kwa mnywa bia!

Haiwezekani mtu anabuk mbili tu alewe na kusumbua mtaa mzima kila siku!
Sasa mtakuwa mnalewa kwa matukio
kwahiyo ulitaka tulewe kwa 30000 kisa tunakunywa juice inayoitwa beer yenye alcohol 5
 
Kwani visichana aka konyagi ndogo si vipo.? Tena buku tatu jero tuu. Nunua hicho uendelee kujidunga. Kama una uwezo chukua lusekelo moja kunywa kwa siku mbili. Hesabu inakuwa ni lileile.

Viroba vilikuwa vinafanya watu walewe bila mpangilio, mtu akipata jero anawaza kununua kiroba. Ila kwa njia hii nidhamu ya pombe itarudi tuu.
 
Haaa haaa ...buku mbili mtu analewaaaa full kele le..

Safi sana Majaliwa
wakati mumeo alileta thread humu kua hua anakupiga show ya kutosha akipiga hivyo viroba vya buku 2 na hizo kelele hua unapiga wewe
 
wakati mumeo alileta thread humu kua hua anakupiga show ya kutosha akipiga hivyo viroba vya buku 2 na hizo kelele hua unapiga wewe
Kwa hili jibu mkuu nina imani wewe unatuzuga, stock unayo ndani na sasa hivi ushapendeza
 
Wangeweka tu faini bhana sio na mwezi juu huku ni kumuonea mlevi wa chini na kubaguana katoka starehe, kati ya wenye nacho na wasio nscho


Kwanza vipi hivi pm hana binti kweli
naitafuta no. yake kwa hamu sana ila ngoja nianze na jesca
 
Back
Top Bottom