kwa wale ambao tuliokua tukitumia (viroba) piteni hapa tushauriane kwa kuelekea

nilienda kununua li whisky la russia lina 96% nikajua litafika mwezi nikienda nalo mdogomdogo ila week tu limeisha
Tunafanana mkuu,mwenyewe hata niwe na pombe kali vp ndani Muda wote naiwaza yenyewe mpaka iishe ndio napata Amani
 
Tulio mipakani kama Mbeya huku ndio muda wa kupiga pesa, kuingiza mzigo toka malawi na zambia magendo....nadhani kwa wanaozijua product za huko wamenielewa
 
Tulio mipakani kama Mbeya huku ndio muda wa kupiga pesa, kuingiza mzigo toka malawi na zambia magendo....nadhani kwa wanaozijua product za huko wamenielewa
Wanakuona ujue alaf watakutafuta.....!
 
Back
Top Bottom