Kwa wakazi wa Arusha muda huu nasikia milio ya risasi mitaa ya Unga

Pilato 007

JF-Expert Member
Sep 6, 2017
447
470
Wakuu wabari ya hivi punde ni zaidi ya nusu saa sasa bado majibizano yapo ya risasi tunayaskia......sauti inaskika haswa kwa wakazi wa sinoni,uswahili n.k watanipata..

Kwa wanaojua naomba watujuze asee.
 
Labda ni wahindi na mafataki yao maana leo ni sikukuu yao ya Diwali
 
Aisee Tanzania tuna Correspondants wabovu sana, hivo hamjaona hata kipindi kile USA wanakwenda Irak, wenzetu wa kwao walikuwa wapo mstari wa mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom