washauri vijana wenzio bwana
Kweli kaka mtu unakubali kukatwa asilimia 50% ya mshaharakwa miaka hata mitano kisa mwanammkeTatizo hizi story za vijiweni tunakokutana zinatuangusha sana
Yaani unakuta mtu kashupalia bila gari bana wewe huthaminiki na wala hutapata mwanamke wa maana
Na tunaangukia huko huko kwenye kununua magari ya mkopo na unakolipaki ni ofisi ya kata au ya ccm maana hata huko unakokaa hakuingiliki
Chumba mnakaa wanne na ukitoka hapo uko smart kweli unachukua mkoko wako ofisi ya kata unaenda kazini
Na kudanganyana mjini usafiri bana nyumba nani anaijua
Ila maisha sio hivyo na wala usiishi ili fulani akuone au akusifie
Ishi kulingana na maisha yako na ishi kulingana na kipato chako na jipangie malengo yako na namna ya kukabiliana na maisha
Nakubali mjini usafiri una nafasi yake ila usitake ununue gari kwa mkopo wa kujiumiza ili umfurahishe fulani au zile story za vijiweni ili umpate dada fulani
Kama ni kupendwa utapendwa tuu bila hata huo mkoko wako
Na ukimuendea msichana ukitaka kujionyesha kwamba wallet yako imejaa na yeye atakuchukulia the same kuwa wallet imejaa
Trust me- sosholojia ni muhimu sana duniani hapa. Watu wanafight to get in na kustay in...Usipokuwa na gari kuna class flani ya watu huwezi mingle nao hata kama kwa kipato mko sawa au umewazidi. Labda unataka umuoe bi shosti wa class flani kisha competitors wako wote wana magari...Yani Imani inawashuka sana nyie dada zetu...Kwa sababu hata ww ukienda kuomba ushauri kwa shostito wako atakuambia;'mwanaume lazima awe na uwezo wa kukutunza/lea' japo wewe una hela na zipo kwenye hisa huwezi prove uko na uwezo wakumlea kwenye macho yao...hapo tayari mwenye gari kachaguliwa.
wewe angalia ni ni nini umeweka mbele katika maisha yako? kwanini uishi ukipretend?Sure umeongea fact, kuna watu huwezi mingle nao bila kuwa na usafiri eti kisa huwezi mpandisha daladala.
Jamani tuongee facts kuliko maisha ya fairy tale na kwenye vitabu. Siku hizi 90% ya girls wako after material things yani akiona una kigari ndo unaanza fikiriwa kupewa nafasi.
Hii ndio reality haya mengine ni story tu hai apply kama girls ambao wanapenda mtu kwa kila hali sikatai kama hawapo ila ni wachache sana na mpaka umpate si rahisi na vigumu kumjua.
Kweli kaka mtu unakubali kukatwa asilimia 50% ya mshaharakwa miaka hata mitano kisa mwanammke
Hii risk kubwa hivi kwa nini uibebe kwa ajili a watu?
ni heri kutumikia kifungo gerezani kulikonikuishi maisha ya mateso kwa ajili ya watu
Nimeishi Ulaya na private tranport tulikuwa tunatumia weekend tu, weekdays tunatumia Public transport, nadhani huna ufahamu na unachokisema na wala hujui ni nini maana ya kumiliki gari yako binafsi.
huna mkopo wewe? sitaki kuishi kwa vijihela vya wasiwasiSmile hivi umeolewa,,? maana ushauri wako hapa unaonyesha kama ni vitu vingi umejifunza na ukakubali kubadilika..Kama kweli unamaanisha unafaaa kuwa mke bora kwangu maana tunaendana..ila isije ukawa unatuambia sisi tu kumbe your one of them!!!
wewe angalia ni ni nini umeweka mbele katika maisha yako? kwanini uishi ukipretend?
heshima gani wakati unateseka bwana? heshima inaanzia kwako mwenyewe.hvi unaweza kujiheshimu while huna hata elfu kumi ya kumpa mama yako kijijini kweli?Yah nakubariana na wewe asilimia zote wajua kila mtu anahitaji kuheshimika nadhani hata kwenye psychology ipo hiyo.
Yani ifikie sehemu aweze kuwa katika class flani aweze mingle na watu flani sasa hapo ndiyo maana watu wanaigiza wanakopa wanunue magari wapate heshima maana siku hizi mwenye gari anaheshimika kuliko mwenye nyumba hahaha.
Sure umeongea fact, kuna watu huwezi mingle nao bila kuwa na usafiri eti kisa huwezi mpandisha daladala.
Jamani tuongee facts kuliko maisha ya fairy tale na kwenye vitabu. Siku hizi 90% ya girls wako after material things yani akiona una kigari ndo unaanza fikiriwa kupewa nafasi.
Hii ndio reality haya mengine ni story tu hai apply kama girls ambao wanapenda mtu kwa kila hali sikatai kama hawapo ila ni wachache sana na mpaka umpate si rahisi na vigumu kumjua.
Tatizo lako Smile unadhani ninachosema mimi ndivyo nilivyo, siko hivyo mimi binafsi nina gari yangu yangu Toyota Hilux Surf, Diesel Engen in good Condition lakini usishangae ukiniona napanda daladala maana siishi kwa hisia za watu wengine.
Unachopaswa ukifahamu ni kwamba maisha yamebadilika sana na Watanzania wana dharau sana imefikia kama huna kitu cha kuonekana basi wewe si lolote, na ukumbuke kwa nature ya binadamu hakuna anayependa adharalaulike mbele ya jamii, hii ndiyo inachangia Watanzania wengi tunaishi maisha ya kuigiza, binafsi mimi sasa hivi nimeshajiondowa kwenye mambo ya kuchangia harusi kiholeholela kila mwezi. am original and not copy.
Kwa nini mtu asiwe na gari kama ndo furaha yake?
Yeye anaishi sasa, afikirie wajukuu imehusu na nini?
Mkuu umeongea
Ila kwanza wewe jifikirie wewe na maisha yako na je maisha hayo unayotaka kuishi ni sawa na kipato chako
Au kwa kuwa unamfuatilia dada ambaye bila mkoko huwezi kumpata kw ahiyo bora uingie kwenye kitanzi cha mkopo na kujibana bana
NA je una uhakika wa kuwa hutajitia kitanzi kwa kuingia kwenye hali hiyo ya maisha ili umfurahishe fulani
Ukishafikiria hayo mkuu hutajiingiza kwenye kitanzi
Nakubaliana na wewe kumpata yule ambaye anakukubali the way ulivyo na anayeyakubali maisha yako kama ulivyo ni ngumu sana ila tunapambana ili kumpata na kupambana kwako kusiwe kwa kuteseka ila kwa kujipangia namna ya kuyakabili maisha
Gaijin ni wewe au kuna mtu kaiba paswedi yako