Kwa wakaka peke yenu

Wadada wachokozi mmesha ambiwa kwa wakaka pekee inakuwaje preta unatia maguu??kwanza wish you special happy new year!then nirudi nyie mliweka kathread mkasema kwa madada pekee!!hatukuinbilia je nyinyi mmekengeuka???
 
Wadada wachokozi mmesha ambiwa kwa wakaka pekee inakuwaje preta unatia maguu??kwanza wish you special happy new year!then nirudi nyie mliweka kathread mkasema kwa madada pekee!!hatukuinbilia je nyinyi mmekengeuka???

Happy New Year Ice of my heart.....
 
awe mwembamba au mnene kama anaweza kujituma kwenye 6 kwa 6 atafanya hivyo tu na kinyume chake.
 
<p>
<font face="Comic Sans MS"><font size="4"><font color="purple">mmmhhhh.............</font></font></font>
</p>
<p>&nbsp;</p>
you better mmmmmh...............coz ulivyo 4x4 labda tuwe wanne n do tutakuweza.....
 
hahahahaaa andaa mbuzi kabisa wasupu na Ambulance,na kikaratasi cha maandishi ya mkono wako mwenyewe kuwa nisibughudhiwe ulikuja kwa hiari yako

Hahahahahahahaha Shurti ashibe! Vinginevyo kila akikuona barabarani atakuwa anageuza njia ili kukukwepa kwa kukumbuka majeruhi aliyoyapata LOL!

 
Mambo yote mwanamke mnene(sio nyama uzembe), mimi sitaki kugongana na mifupa natata kila mahali nikibofya inipe raha, mwanamke chupi ya haja bwana hata ukiiona ameianika/tundika hapo chumbani mzuka unapanda, sio demu kachupi kama ka mtoto.
 
Maovu matupu nyie kina shost thread imeandikwa kwa wanaume tu(wakaka tu) mbona mnakimbilia
 
ahsante sana wana JF kwa michango yenu. Nimegundua wakaka wengi wanapenda wanawake maphantom.

nafunga mjadala.

Enjoy your New Year celebrations!!
 
Back
Top Bottom