Kwa wahenga tu, Zama zetu zileee, tujikumbushe enzi zetu, tuliokulia vijijini

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
595
1,259
Jamani maisha ni safari ndefu, hasa tuliokulia vijijini tuliishi maisha ya kipekee saaana.

1. Kuoga ilikuwa ni mtoni hasa kwa maeneo ya Tukuyu Miaka hiyo ya tisini.

2. Kuvaa nguo mpya mashati ya Julian na suruali special za Tokyo huku chini na mokas

3. Kupaka mafuta ni mpaka unaenda mjini au sikukuu aidha upake povu la sabuni ya komoa au mshindi.

4.Unatumwa kununua mafuta ya taa ya sh. 30 na kiberiti Cha 20.

5.Maji ya chupa tuliokuwa tunahisi Yana sukari.

6. Kufukuzia magari na kukanyaga tairi za gari lilimopita Hadi Raha unajihisi wewe ndio dereva.

7.Kandambili za umoja ndio ulikua mtoko zinaoshwa zinang'a na ukioga ndo unakuja kuvaa.

PAMOJA NA CHANGAMOTO HIZO BADO TULIINJOY KWELI MAISHA NI SAFARI.wewe uliinjoy nini kwenye Zama zako kwani Kila Zama na watu wake. Karibu tufurahi.
 
Raba mtoni na gauni la print langi mbili. Kama kidonge Cha tetracycline....from kiwira Mwankenja ku basumali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom