GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Mi nafikiri thamani inayoongezeka ni kiwanja (ardhi) na si nyumbaUliza walio underwater kutokana na subprime lending.
The devil is in the details.
Nyumba ikiwa ina appreciate ni asset. Ikiwa ina depreciate ni liability. Cost-benefit analysis in tow.Simple as that, but not simpler.
Na hakuna golden rule kusema nyumba siku zote ita appreciate au depreciate.
ndio maana hata kama unaweza kuuza kwa fedha nyingi sana bado
mtu anaweza kujenga nyumba nyingine. Hilo la kudepreciete vilevile
linaweza kutokea iwapo eneo au ardhi husika imeshuka thamani. Mfano baada
ya mafuriko makubwa yaliyotokea mwaka 2011 baadhi ya maeneo
yalidepreciete yaani nilishuhudia nyumba iliyokuwa inauzwa Milioni 65 ikiuzwa
Mil.20 tu.