Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

Nyumba ni asset kama umezaliwa na kuishi tz tu miaka yote na kutembea nchi jiran za africa but kama umetembea na kuiona dunia ilivyo I mean kama umeshafanya fanya connection hethrow,doha, amsterdam na kwingineko nchi za kufika hadi ubadilishe ndege mara kazaa nyumba ni liabilities unless hiyo nyumba ni for business purpose bt kama ni ya kuishi na unaishi mwenyewe ndani ni liabilities over, kama ujanielewa vizuri tembea uione dunia utajua namaanisha nini, over

Mkuu sasa naona umeamua kuharibu kabisaaaa. dah
 
A house is an asset. If you choose to define it in the way Kiyosaki does you are also right, its ur own style.

Summary of the discussion: A house is always an asset in accounting books, bt in investors' perspective a house may not necessarily be an asset depending on the flow of cash. (ref: Robert Kiyosaki)
 
Wakuu huu ni mjadala ni mzito sio u turn na JF tu, ni mjadala mzito hata kwa magwiji wa uchumi duniani wanatofautiana juu ya hili
just try to google utaona jinsi watu mbali mbali wanavyotofautiana juu ya hili
Kwa mujibu wa ninacho kijua mimi na kwa msaada wa kitabu nilicho kitumia sana chuoni Frank wood house ni asset
Na wanaodai ni liabilitity wanadai kwasababu kuwa na house unatoa pesa kuhudumia badala kuingiza kama tafsiri ya asset inavyosema
Nadhani hakuna jibu exactly kuwa ni asset tu au ni liability tu or both, it depend na situation
 
Lol....hii kitu inachanganya sana vichwa,mi nilidhani ni wale wadada wa u turn tu kumbe hata great thinker wanapoteana kweli hili suala,sie maamuma wa mabo haya ndio kabisa
 
As an accountant...House is a non current asset for the following reasons:-

  1. The value of the house will always appreciate no matter what....even when there is economy downturn. When you are paying for the house under a morgage, it might seem as a liability but the fact that you can resale it for more and get more than what you paid for back makes it an asset.
  2. Houses are built under land which appreciate even more on a daily basis, so even if the house is damaged you will get enough back from the value of land!
  3. In my professional opinion...if you are renting then thats a liability but if you are paying for a house over a period of time/building your house...that is an investment worth more than you can imagine!

CIAO
 
Hata mimi ndio nimekua nikijua hivyo but niliyoyaona kwenye thread hii yamenifanya nifikirie vinginevyo kama sio kuchanganyikiwa....!
 
Owners equity is a liability to the business asset aquired. Always Assets are DR entries and Liabilities which includes capital are CR entries.

Napita tu ukitaka darasa zaidi nitafute lunch time kesho

Mhasibu Mkuu naona kidogo kama kuna mchanganyiko,

Accounting Equation inasema kuwa Asset =Liability+Owners Equity
Kama Hamna Liability manake Asset = Owners Equity, Kwahiyo sio wakati wote Lazima Asset iwe sawa na liability labda kama Asset imekuwa Acquired na Liabilities.
 
Sasa mbona umetafuna kwa kuchapia? drawings zinaingiaje kwenye general Accounting Equation?

Drawings ni issues za kwenye partnership accounting tu. Go back to books

okey kwakuwa umezoea kutafuniwa kila kitu, haya meza na hiyo!

ASSET=CAPITAL+LIABILITIES-DRAWINGS
 
on layman's terms,nyumba ni asset,lakini itakua liability kama itakua imepatikana kwa loan au mortgage,kwa definition ingine rahisi,asset ni kitu ambacho kinakuingizia pesa,hiyo ni kama hiyo nyumba itakua inakuingizia,lakini kama inakutolea pesa kulipa deni la mkopo benki,inakua liability kwako na inakua asset ya benki uliyokopa.

Kwa maana hy ukishalipa deni lote inarudi kuwa ASSET?
 
As an accountant...House is a non current asset for the following reasons:-

  1. The value of the house will always appreciate no matter what....even when there is economy downturn. When you are paying for the house under a morgage, it might seem as a liability but the fact that you can resale it for more and get more than what you paid for back makes it an asset.
  2. Houses are built under land which appreciate even more on a daily basis, so even if the house is damaged you will get enough back from the value of land!
  3. In my professional opinion...if you are renting then thats a liability but if you are paying for a house over a period of time/building your house...that is an investment worth more than you can imagine!

CIAO

Ndio maana tunasema wahasibu(Only Accounting Knowledge) ni vigumu sana kuwa washauri wazuri wa wajasiriamali(Entrepreneurs, Investors) labda aongeze na knowledge nyingine kama vile Finance, Economics, Entrepreneurship n.k.
 
ndio maana tunasema wahasibu(only accounting knowledge) ni vigumu sana kuwa washauri wazuri wa wajasiriamali(entrepreneurs, investors) labda aongeze na knowledge nyingine kama vile finance, economics, entrepreneurship n.k.

kwanini unasema hivyo kamanda??
 
Owners equity is a liability to the business asset aquired. Always Assets are DR entries and Liabilities which includes capital are CR entries.

Napita tu ukitaka darasa zaidi nitafute lunch time kesho

Wasipokuelewa kwa hili basi jua tatizo ni kubwa kuliko hicho kinachojadiliwa.....

Wanasahau ile kanuni...biashara na mwenye biashara ni watu wawili tofauti
 
Ruling:
A house is to be treated as an Asset, while the financing is to be treated as a Liability.
This concludes the fundamental principle of Accounting ie Assets = Liability + Equity.
 
WHETHER ni ASSET or LIABILITY, for me it doesn't matter! By the way, am not an Accountant but Economist...therefore, i'll explain or put my advice from economic point of view.

Tuseme una nyumba yako mzuri tu na tena kubwa maeneo ya Tegeta. Unaishi mwenyewe na familia yako na ndugu zako wasio na kazi yoyote hapa mjini lakini wapo tu kwavile nyumba ya bure ipo! Hakuna any economic activity inayofanyika hapo nyumbani inayotokana na mazingira ya nyumba husika....say, ufugaji au kilimo. Pamoja na yote hayo, bado nyumba yako ungeweza kupangisha kwa pango (say) la TSZ 6M/year, yaani TZS 500,000/= kwa mwezi. In contrast, let's say maeneo tulivu sawa na Tegeta kama vile Mtoni Kijichi unaweza kupata nyumba ya kuishi comfortably, wewe na familia yako kwa pango la Sh. 300,000/= kwa mwezi. Lakini pamoja na yote hayo, bado una-opt kukaa kwenye nyumba yako ambayo endapo unge-opt kupangisha na kwenda kuishi Kijichi basi ungepata extra income ya TZS 2.4M per year.....basi hapo aliye liability kwa mwenzake ni wewe na hiyo familia yako na wala sio hiyo nyumba! Yaani wewe na familia yako si liability kwa hiyo nyumba tu bali ni LIABILITY hata kwa taifa.
 
mkuu unatisha lol...hii sikuifikiria hii,we kweli mchumi maana hata comment yako imekee kichumi chumi tu
 
FORMULA YA UHASIBU NI MOJA

ASSET=CAPITAL +LIABILITY
Hivyo house ni Asset haitakaa iwe liability,
mnacho jadili ni treatment ya transactions na hivyo haitabadili BOOKS OF ACCOUNTS
 
Back
Top Bottom