Kwa Wabunge wa aina hii, Tanzania kupata maendeleo ni sawa na maji ya mto kupanda mlima.

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Ndugu zangu Watanzania, hii ni Nchi yetu sote. Kwa aina ya Wabunge hawa tulio nao sasa, kamwe hatutakuja kupata maendeleo ya kweli.

Ebu fikiri, Mbunge anapewa dakika 10 za kuchangia hoja Bungeni.
Kati ya dakika hizo, Mbunge anatumia zaidi ya dakika 7 kumsifu Rais. Dakika zinazobaki anaongelea miradi iliyotekelezwa.

Je, hapo kuna kitu kipya? Hakuna kabisa.

Mbunge anayejitambua na anayewawakilisha Wananchi wake kikamilifu anatarajiwa atumie huo muda wa dakika 10 kama ifuatavyo kwa mfano:-

(1) Dakika labda 5, azitumie kuelezea kwa kina shida zinazowakabili Wananchi anaowawakilisha.

(2) Dakika zinazobaki atumie kutoa mapendekezo au njia za kutatua matatizo hayo.

Kwa hiyo, kwa zaidi ya 80% ya Wabunge wetu wanamwakilisha Rais zaidi kuliko Wananchi waliowachagua.

Watanzania tuna wajibu wa kufanya mapinduzi/mabadiliko makubwa kabisa ili tuwe na Wabunge wanaowawakilisha Wananchi waliowachagua.

Nawasilisha.
 
Wabunge wa mwendazake, ambaye mlimshangilia alivyokuwa akiwapitisha bila kupingwa, leo mnazuga kulaumu

Mfuasi wa mwendazake kama wewe hutakiwi kulaumu chochote kuhusu wabunge kumsifia Rais maana mwendazake ndio aligeuza Bunge kuwa hivyo

Ila nyie watu akili zenu .😂😂😂
 
WABUNGE hawa USITARAJIE MAAENDELEO Wanatumia MUDA MWINGI KUMSIFIA MTU BADALA ÝA KUELEZA SHIDA ZA WANANCHI WAO HAKUNA BUNGE NI KIKAO CHA MAPAMBIO
SUBIRI USIKIE HOJA NYEPESI ZA UFISADI ZITAKAZOTOLEWA
20220523_131911.jpg
 
Shida sio wabunge shida ni wanaowachagua Tena hao wabunge kurudi bungeni, tungebadilika sisi lazima kungekuwa na mabadiliko tu.
 
Mkuu tushazoea kubembelezana sana sasa hakuna maana tena ipo siku njaa zikikolea watu wataumizana sana.. kupambana na wenye njaa sio mchezo hawana cha kupoteza!
 
Ndugu zangu Watanzania, hii ni Nchi yetu sote. Kwa aina ya Wabunge hawa tulio nao sasa, kamwe hatutakuja kupata maendeleo ya kweli.

Ebu fikiri, Mbunge anapewa dakika 10 za kuchangia hoja Bungeni.
Kati ya dakika hizo, Mbunge anatumia zaidi ya dakika 7 kumsifu Rais. Dakika zinazobaki anaongelea miradi iliyotekelezwa.

Je, hapo kuna kitu kipya? Hakuna kabisa.

Mbunge anayejitambua na anayewawakilisha Wananchi wake kikamilifu anatarajiwa atumie huo muda wa dakika 10 kama ifuatavyo kwa mfano:-

(1) Dakika labda 5, azitumie kuelezea kwa kina shida zinazowakabili Wananchi anaowawakilisha.

(2) Dakika zinazobaki atumie kutoa mapendekezo au njia za kutatua matatizo hayo.

Kwa hiyo, kwa zaidi ya 80% ya Wabunge wetu wanamwakilisha Rais zaidi kuliko Wananchi waliowachagua.

Watanzania tuna wajibu wa kufanya mapinduzi/mabadiliko makubwa kabisa ili tuwe na Wabunge wanaowawakilisha Wananchi waliowachagua.

Nawasilisha.
Hawa wabunge wetu sijui wana shida gani kabla hajaongea chochote anaanza "naunga hoja asilimia 100"then anaendelea namshukuru mh Rais ameleta maendeleo makubwa ameleta elimu bure na praise nyingi kwa mtukufu zaidi ya dk 7na anamalizia kwa kusema ila kuna wizi mkubwa umeibuliwa na CAG na niwahakikishie waheshimiwa wabunge mwaka 2025 wote mtarudi wala msihofu.Anarudia tena naunga mkono hoja.Idiots
 
Wabunge wa wajumbe hao😂😂😂
 
Nyie si ndiyo mlifurahia yule juha alivyowaengua wagombea wenye akili timamu akajaza majuha wenzake ?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Bunge la machawa. Spika mwenyewe kashasema sio lazima Rais akubaliane na ushauri wa bunge. Very stupid speaker.
 
Hawa wabunge wetu sijui wana shida gani kabla hajaongea chochote anaanza "naunga hoja asilimia 100"then anaendelea namshukuru mh Rais ameleta maendeleo makubwa ameleta elimu bure na praise nyingi kwa mtukufu zaidi ya dk 7na anamalizia kwa kusema ila kuna wizi mkubwa umeibuliwa na CAG na niwahakikishie waheshimiwa wabunge mwaka 2025 wote mtarudi wala msihofu.Anarudia tena naunga mkono hoja.Idiots
Hujui shida Yao?ni njaaa na ujinga uliowajaa vichwani
 
Ndugu zangu Watanzania, hii ni Nchi yetu sote. Kwa aina ya Wabunge hawa tulio nao sasa, kamwe hatutakuja kupata maendeleo ya kweli.

Ebu fikiri, Mbunge anapewa dakika 10 za kuchangia hoja Bungeni.
Kati ya dakika hizo, Mbunge anatumia zaidi ya dakika 7 kumsifu Rais. Dakika zinazobaki anaongelea miradi iliyotekelezwa.

Je, hapo kuna kitu kipya? Hakuna kabisa.

Mbunge anayejitambua na anayewawakilisha Wananchi wake kikamilifu anatarajiwa atumie huo muda wa dakika 10 kama ifuatavyo kwa mfano:-

(1) Dakika labda 5, azitumie kuelezea kwa kina shida zinazowakabili Wananchi anaowawakilisha.

(2) Dakika zinazobaki atumie kutoa mapendekezo au njia za kutatua matatizo hayo.

Kwa hiyo, kwa zaidi ya 80% ya Wabunge wetu wanamwakilisha Rais zaidi kuliko Wananchi waliowachagua.

Watanzania tuna wajibu wa kufanya mapinduzi/mabadiliko makubwa kabisa ili tuwe na Wabunge wanaowawakilisha Wananchi waliowachagua.

Nawasilisha.

Bila machafuko ili kuitoa serekali hii madarakani, tutabaki kupiga hadithi za hivi hivi tu. Hao wabunge lazima wamsifie rais maana hawaingii madarakani kwa kura za wananchi, bali kupitia madaraka ya rais.
 
Ilo si bunge hicho ni kikao cha wana ccm na machawa wanao Kaa dodoma kupiga gumzo na kumsifu rais
 
Wabunge wa mwendazake, ambaye mlimshangilia alivyokuwa akiwapitisha bila kupingwa, leo mnazuga kulaumu

Mfuasi wa mwendazake kama wewe hutakiwi kulaumu chochote kuhusu wabunge kumsifia Rais maana mwendazake ndio aligeuza Bunge kuwa hivyo

Ila nyie watu akili zenu .😂😂😂
Wewe Mbwa choko, mwendazake hayupo duniani
 
Back
Top Bottom