Kwa vijana: Kufanya kazi kwa bidii hakutoshi kukuletea maendeleo

ITR

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
4,454
11,410
Vijana wenzangu tukiwa ndo tunauanza mwaka 2023 si vibaya kupeana mbinu za utafutaji maana ujana wetu ndo utakao amuwa uzee wetu uweje.

Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa yakwamba ukitaka kufanikiwa katika maisha basi fanya kazi kwa bidii, lakini mm ni kwambie bidii ni sehemu ndogo tu ya kumfanya mtu afanikiwe ,kinacho mfanya mtu afanikiwe ni akili Baada ya kufanya kazi kwa bidii.

Ukiwa na juhudi alafu ukakosa akili basi tambua juhudi zako ni bure na utakufa masikini bila chochote pamoja na kutumia nguvu kubwa katika utafutaji.

Mfano wa kwanza: umeenda kijijini ukalima kwa bidii kwa jasho na damu ukafanikiwa kuvuna magunia 100 ya mpunga ukakoboa ukauza ukapata 10,000,000 sasa ukisha ipata hiyo hela ni akili tu ndo itaamuwa iwapo hiyo hela ikufae katika maisha yako au hapana.

Ukisha pata hiyo hela akili ikakutuma kuongeza uwekezaji katika kilimo chako au kuwekeza katika biashara nyingine basi hiyo juhudi zako zitakuwa zimekusaidia kufanikiwa.

Lakini iwapo akili itakutuma kurudi mjini kuweka heshima baa na kwa mademu walio kukataa kisa huna hela basi hizo juhudi zako na jasho lako ni limepotea bure na ndani ya wiki 3 utakuwa huna hata mia na utakuwa miongoni mwa watu wapumbavu sana.

Mfano wa pili: ww ni muajiliwa umepambana na umefanya kazi kwa bidii mpaka waajili wako wakakuona wakupandisha cheo na mshahara lakini huo mshaara mkubwa ulio ongezewa utakufaa iwapo utakuwa na akili tofauti na hapo juhudi zako ni kazi bure na mpaka unasitaafu utakuwa huna chochote na utageuka kituko ndani ya jamii.

Kwa mifano hii inaonesha akili ndo muamuzi mkuu wa kuamua iwapo ufanikiwe au udidimie pamoja na juhudi zako, na ndio maana unaweza kukuta mtu ana kipato cha 3,000,000 kwa mwezi lakini ukakuta anazidiwa mbali mno na mwenye kipato cha 500,000 kwa mafanikio.

Wakati tukianza huu mwaka vijana tujitathimi unaweza kuwa unailaumu CCM kwa ugumu wa maisha na umasikini wako kumbe mienendo ya maisha yako ndo adui mkubwa wa mafanikio yako.

Tatizo la umasikini wa vijana ndani ya taifa letu ni ukosefu wa akili kama ni kazi vijana wengi wanachakarika asikwambie mtu lakini mademu, pombe , kamari, na kupenda kuigiza maisha kunatuangusha sana sisi vijana.

Nimalizie kwa kuwasii vijana wenzangu, dunia inapo elekea ni kugumu mno na kila mtu kitakacho mfaa ni kile alicho vuna kwenye ujana wake.
 
Umenena vyema mkuu ila sasa kwa Tanzania bahati mbaya sana nguvu kazi ya hii nchi inatumika sana katika starehe, kamari na vijiwe huku wanaojitahidi nao kushindwa kupata support kutoka kwa serikali na wadau wa maendeleo. Sitashangaa kukiongezeka uhalifu kwa vijana wengi hawana shughuli za kufanya.
 
Vijana wenzangu tukiwa ndo tunauanza mwaka 2023 si vibaya kupeana mbinu za utafutaji maana ujana wetu ndo utakao amuwa uzee wetu uweje.

Watu wengi wamekuwa wakisema kuwa yakwamba ukitaka kufanikiwa katika maisha basi fanya kazi kwa bidii, lakini mm ni kwambie bidii ni sehemu ndogo tu ya kumfanya mtu afanikiwe ,kinacho mfanya mtu afanikiwe ni akili Baada ya kufanya kazi kwa bidii.

Ukiwa na juhudi alafu ukakosa akili basi tambua juhudi zako ni bure na utakufa masikini bila chochote pamoja na kutumia nguvu kubwa katika utafutaji.

Mfano wa kwanza: umeenda kijijini ukalima kwa bidii kwa jasho na damu ukafanikiwa kuvuna magunia 100 ya mpunga ukakoboa ukauza ukapata 10,000,000 sasa ukisha ipata hiyo hela ni akili tu ndo itaamuwa iwapo hiyo hela ikufae katika maisha yako au hapana.

Ukisha pata hiyo hela akili ikakutuma kuongeza uwekezaji katika kilimo chako au kuwekeza katika biashara nyingine basi hiyo juhudi zako zitakuwa zimekusaidia kufanikiwa.

Lakini iwapo akili itakutuma kurudi mjini kuweka heshima baa na kwa mademu walio kukataa kisa huna hela basi hizo juhudi zako na jasho lako ni limepotea bure na ndani ya wiki 3 utakuwa huna hata mia na utakuwa miongoni mwa watu wapumbavu sana.

Mfano wa pili: ww ni muajiliwa umepambana na umefanya kazi kwa bidii mpaka waajili wako wakakuona wakupandisha cheo na mshahara lakini huo mshaara mkubwa ulio ongezewa utakufaa iwapo utakuwa na akili tofauti na hapo juhudi zako ni kazi bure na mpaka unasitaafu utakuwa huna chochote na utageuka kituko ndani ya jamii.

Kwa mifano hii inaonesha akili ndo muamuzi mkuu wa kuamua iwapo ufanikiwe au udidimie pamoja na juhudi zako, na ndio maana unaweza kukuta mtu ana kipato cha 3,000,000 kwa mwezi lakini ukakuta anazidiwa mbali mno na mwenye kipato cha 500,000 kwa mafanikio.

Wakati tukianza huu mwaka vijana tujitathimi unaweza kuwa unailaumu CCM kwa ugumu wa maisha na umasikini wako kumbe mienendo ya maisha yako ndo adui mkubwa wa mafanikio yako.

Tatizo la umasikini wa vijana ndani ya taifa letu ni ukosefu wa akili kama ni kazi vijana wengi wanachakarika asikwambie mtu lakini mademu, pombe , kamari, na kupenda kuigiza maisha kunatuangusha sana sisi vijana.

Nimalizie kwa kuwasii vijana wenzangu, dunia inapo elekea ni kugumu mno na kila mtu kitakacho mfaa ni kile alicho vuna kwenye ujana wake.
Naomba hili bandiko ulipeleke kwenye majukwaa mengine.

Ni Uzi mujarabu sana kwa Vijana.

Na pengine niongezee..

1.Elimu ya Ujasiriamali ni muhimu sana mashuleni kwa sasa!

Entrepreneurship skills.

2.Vijana wanapenda utajiri lakini hawa practice utajiri..

Sifa ya kwanza ya Tajiri ni kuweka Akiba na kukuza biashara kila fursa ipatikanapo.

Kila Shilingi Lazima izae kiasi fulani juu yake...kisha matumizi yatajipima yenyewe kutokana na kiasi kinachozaliwa...

3.Muda wa kuruhusu biashara kukua ni muda muhimu wa kijana kuepuka matumizi yatakayopelekea maumivu kwenye biashara...

Siyo miezi wala mwaka...

Ni miaka...3 kama una Bahati lakini chini sana ni 5 na kuendelea...

4.Capital Expenditure..

Wafanyabiashara wengi wanaanza na kupanga Nyumba..

Hata mtaji ukikua bado utaangalia Umri wa kujenga Dream House...

Hii ni ili usiumize Biashara au Mtaji!

5.Kutofautisha Mtaji na matumizi au mahitaji ya kijamii..

Hii inategemea aina ya Biashara na Profit Margin iliyoko...

Unaeza kukuta biashara ya 1BN lakini Margin yake ni 3%.

Hapa inabidi uwe makini sana vinhinevyo utakula Mtaji haraka sana!

Uzi ni mzuri sana!
 
Umeongea vyema kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom