Kwa vicheche wote download hii program italinda ndoa yako

Jimmy Kadebedebe

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
468
191
Kwa wale wanandoa wapenda michepuko download program hii inaweza kukulindia ndoa yako hasa kwa mke au mume anayependa kupekua hovyo simu yako.Program hii inaitwa NQ VAULT, hii uweza kutunza picha, meseji, contacts ambazo ni dialled hata missed calls.Wewe binafsi ndiye utakayeweza kufungua kwa kutumia pasword utakayojichagulia.Pia unaweza kufunga program kama fb, whtsaap, gallery nk.

Nawasilisha! lkn kikubwa ni kubaki njia kuu michepuko haiepukiki ndio tatizo.
 
Hiyo cha mtoto kuna Whatsapp hide it pro ndio kiboko yao. Yenyewe kwenye screen inajitokeza kama Audio Manager ukiifungua unakutana na option za kuongeza sauti na kupunguza sauti wala na wakati wa kuifungua haikuombi password kama hiyo vault. Sasa kama unataka kwenye usiri ikishafunguka na ikaonekana ya kawaida unabonyeza kwa nguvu kwenye maandishi yaliyo andikwa Audio manager sasa hapo utaingiza password na kufanya mambo yako
 
Back
Top Bottom