Kwa vicheche wote download hii program italinda ndoa yako

daaah nimezpenda sana hiz program mpaka habar za lowasa nimesahau kwa muda
 
Juzi kati mke wangu alinihack n akasoma meseji zangu za whatsapp,msaada please
 
Juzi kati mke wangu alinihack n akasoma meseji zangu za whatsapp,msaada please

Acha uzembe wewe!' umeoa halafu unaandikiana sms na kimada. Hayo maprogram ni kwaajili ya maboifrendi na magelofrendi.
 
Kujitaftia pressure ya nn? Wewe ulishaga chepuka hutaki mwenzio achepuke? Huu ni uchoyo!
 
Back
Top Bottom