Huoni ziko pea mbili mkuu??😂😂Huyo soja hayo ma groves ya boxing anayatumia kwa kazi gani vitani?
Nyumbu FC akili zenu mnazijua wenyeweMziki wetu uliowatimua Uganda unaujua??
Tanzania tuna askar makini????Mkuu umewaza nje ya BOX.
HAKIKA wazo lako si baya, ukizingatia tuna Askari makini nasi hapa nchini Alhamdulillah hatuna vitisho vikubwa vya Amani vya kuwashughulisha sana Askari wetu.
Lakini Mkuu kwa Uwezo wa kimafunzo, Teknolojia na Vifaa vya Jeshi letu haitakuwa rahisi kwenda kupambana na Jeshi la Wazayuni au Hamas kwani wao wameendelea sana Kiteknolojia (hasa Wazayuni).
Siku hizi katika Medani za kivita si idadi ya Askari tu ndo inayoamua Ushindi katika uwanja wa kivita bali na vitu vingine kama Teknolojia kuanzia Teknolojia ya Vifaa mpaka ya ukusanyaji Taarifa, yaani kujua adui yuko wapi? Ana silaha kiasi gani? Zenye uwezo gani? Analenga shabaha ya kutushambulia wapi? Na sisi tunapiga wapi?
Mathalan, Mossad (shirika la ujasusi la Israel) linasifika kuwa moja ya mashirika hatari kabisa Ulimwenguni hivyo sioni Urahisi wa Askari wetu na TISS wetu kufanikiwa katika kutuliza amani huko Palestina. Hata ikitokea tukaenda itatuwia vigumu sana kutimiza lengo.
Nadhani wazo lako tuligeuze maeneo ambayo kuna wepesi kwa Askari wetu kufanya kazi yaani kwa watu tuliowazidi mafunzo, Teknolojia, Vifaa na Uzoefu.
Btw Mkuu umewaza pakubwa sana, tunahitaji sana watu kama wewe.
View attachment 1783817View attachment 1783821
Askari hawa wanaojaza maboksi ya kura zilizopigwa na kuzama nazo vituoni au askari gani unaongelea?Tanzania tuna askar makini????
Atatupa furushi hilo.Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani.
Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio ti watatuliza ghasia balo watapandisha hadho ya jeshi letu
Jeshi letu lipo fiti, tuliwazima Uganda, congo walituliza ghasia, visiwa flani (sio zanzibar) huko nako walituliza, Tuliwasaidia Mozambique kina Samora, n.k vitu kibao
View attachment 1783804
Tatizo mnaamini jeshi lenu ni kila kitu eeeee!!!! Nikuhakikishie hawajakutani na vidume aisee mnafikiri kule kuna wapinzani mliozoea kuwaonea!??Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani.
Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio ti watatuliza ghasia balo watapandisha hadho ya jeshi letu
Jeshi letu lipo fiti, tuliwazima Uganda, congo walituliza ghasia, visiwa flani (sio zanzibar) huko nako walituliza, Tuliwasaidia Mozambique kina Samora, n.k vitu kibao
View attachment 1783804
Kuna mossad na kidon ni binadamu hatari usiwafananishe na vitu vya ajabuMkuu umewaza nje ya BOX.
HAKIKA wazo lako si baya, ukizingatia tuna Askari makini nasi hapa nchini Alhamdulillah hatuna vitisho vikubwa vya Amani vya kuwashughulisha sana Askari wetu.
Lakini Mkuu kwa Uwezo wa kimafunzo, Teknolojia na Vifaa vya Jeshi letu haitakuwa rahisi kwenda kupambana na Jeshi la Wazayuni au Hamas kwani wao wameendelea sana Kiteknolojia (hasa Wazayuni).
Siku hizi katika Medani za kivita si idadi ya Askari tu ndo inayoamua Ushindi katika uwanja wa kivita bali na vitu vingine kama Teknolojia kuanzia Teknolojia ya Vifaa mpaka ya ukusanyaji Taarifa, yaani kujua adui yuko wapi? Ana silaha kiasi gani? Zenye uwezo gani? Analenga shabaha ya kutushambulia wapi? Na sisi tunapiga wapi?
Mathalan, Mossad (shirika la ujasusi la Israel) linasifika kuwa moja ya mashirika hatari kabisa Ulimwenguni hivyo sioni Urahisi wa Askari wetu na TISS wetu kufanikiwa katika kutuliza amani huko Palestina. Hata ikitokea tukaenda itatuwia vigumu sana kutimiza lengo.
Nadhani wazo lako tuligeuze maeneo ambayo kuna wepesi kwa Askari wetu kufanya kazi yaani kwa watu tuliowazidi mafunzo, Teknolojia, Vifaa na Uzoefu.
Btw Mkuu umewaza pakubwa sana, tunahitaji sana watu kama wewe.
View attachment 1783817View attachment 1783821
Hawezi elewa vitu kama hivyo mjinga huyo akili imejaa nyimbo za singeliHawawzi, ukitaka kujua hawawezi fikiria Entebbe Raid wanajeshi wetu wangeweza? vita vya wale ni vya kidigitali na wanajeshi wetu hawajasoma