Kwa stail hii kuna mapenzi hapa?

Yeah fata ushauri wa husninyo kae wiki bila kumtafuta na akipiga mwambie subiri nina kazi muhimu nitakupigia, badae tena usipige akipiga mwambie naongea na mzee hapa nikimaliza takupigia kaa kimya then ataona kama aaendelea kumtafuta,akiendelea ujue mapenzi yapo ila yuko bize au ni mkorofi tu,akikaa kimya ujue ana jambo huyo
Ushauri wenu 2taufanyia kazi 2nayaheshimu sana.lakini kama kweli mapenz yamekwisha kwanini asiwe wazi nadhani inakua vzr sana kuliko hayo anayoyafanya inakua km anajaribu km yule aliempata kma ni kweli yuko nae au lah!
 
Jamani naomba kutoa kisa hiki.Inaweza kua either uliwahi kuickia au kukutana nacho.
Ni kati ya wapenzi waliopenda sana kiac cha kila sehemu walikwenda wote walishrikiana kwa kila jambo mpaka mbele ya m2 atakaewaona alijua hawa ni wapenzi.Binti ni secretary kwenye stationary moja mjini hapa na jamaa anabiashara zake binafc.Hawa kila mmoja anaish kwake sasa hv jamaa anapelekwa puta binti hashikiki kila cku ni kusuruhisha ugomvi,binti amekua bize kupta kiac mpaka jamaa sasa utendaji wa kazi umeshuka.ki ukwel km ungewah kuwaona ungestaajabu sana.
Msaada:Jamaa anaonekana bdo anampenda binti na kwa khal hii cdhan km atakubal kumuacha.
Lakini pia kama kuna njia ya kulinusuru penzi hl tafadhar 2naomba msaada.
Na kama kuna dawa yaani aweze kulisahau penz hl itasaidia kwani inaoneka binti ameshaanza kutoa % kwa jamaa.
Angalizo:Ha2na nia ya kulivunja penzi lao japo kama itawezekana waludie kama zamani hy ndo dira ye2 kubwa kumsaidia.Sasa naomba niliweke mezani 2weze kulita2a.
Ni mimi mpendwa wenu KOKUDO.
It seems you have extra details over this issue.....! so, huenda wewe mwenyewe unahusika kwa kiasi kikubwa....! Play the right part of you and not that one....!
 
Dah unanifanya nicheke,dats is the fact manzi ameshapata substitution na imempagawisha,kwa hakika wanaume 2nakazi.
Kama ni kweli kapata substitution kwann asiwe wazi?wkt mwingne wanaume 2nataka kulazmisha mambo wakati yako wazi.
 
It seems you have extra details over this issue.....! so, huenda wewe mwenyewe unahusika kwa kiasi kikubwa....! Play the right part of you and not that one....!
Hapo konakali umeniacha mi nahusika vp?au sijakuelewa?
 
Sijui vijana wa dot com mkoje? Mwanamke akikusumbua piga chini haraka and move on!
 
huwa inatokea hasa pale mwanamke akianza kukutana na wanaume wengi katika eneo lake la kazi! hata mimi iliwahi kunitokea kama hii nilijitahidi sana kuacha lakini mtu kama umependa huwa ni msalaba mzito, ninaimani asilimia 40 nimeweza lakini tu napenda niseme kama ukiwa unampenda mwenzio kuacha huwa ni kazi ya ziada sana sana kukosana na marafiki washauri. waacheni wenyewe ndo wanaujua mwisho wao kwavile kila mmoja wao anaukumbuka mwanzo wa penzi lao misukosuko yake na pale walipowahi kufanya vizuri kwani hata mapungufu ya ndani kabisa wanayajua wao hivyo kwetu kama marafiki pakuanzia nipadogo sana kwakutumia picha ya nje wakati ya ndani ndo kubwa zaidi
 
Hapo uko sawa inaweza ikachangia tena kwa kiac kikubwa.lakini 2kienda pale mashemej haoneshi tofauti kbs ok ndugu 2nafanya nini kuokoa au kuyaponya maumivu?
 
Back
Top Bottom