Kwa sera hizi CHADEMA wanachukua nchi mapema

Hakuna chama cha upinzani kinaweza kuchukua serikali nchi hii. Rehma za Mungu ila si kwa siasa au makeke....CCM is here to stay.
 
Mzee Cleopa Msuya kashapililia msumari jeneza la CCM.
Mzee kapiga msumari mzito, anasema chadema wanafikilia sana, ccm inatakiwa kujifunza kutoka huko, sasa mzee kama uyu kasema mimi ni nani kukataa, yajayo yanafuraisha
 
Nataka kauli kama hizi ziwajae kwenye ubongo ili mwendelee kubweteka, mkijua mpo na back up ya vyombo vya Dola , nyakati zimebadika , na MUNGU ALISHAIFUTA CCM KIUTAWALA ,
Maneno mazito sana hayo 😅🙏🙏
Yaani Back up ikichoka that’s the end of the story ???!! 😅😅🙏🙏
 
Salaam,

Kuelekea Uchaguzi ujao nimedokezwa Ilani ya CHADEMA inayopikwa, itakua na kauli mbiu ya "TANZANIA YA KIDIGITAL INAWEZEKANA"

Kilichonifurahisha katika Ilani hii, kuna Sera ya "Uchumi wa Kidijitali" ambayo CHADEMA, wameifanyia utafiti na kugundua, itazalisha mamilioni ya ajira zitakazoboresha maisha ya wananchi, na kukuza uchumi wa taifa letu, bila kuuza raslimali zetu.

Kupitia sera hii, Serikali ya CHADEMA itawatumia wawekezaji, kuanzisha vituo vya sanaa na michezo nchi nzima, kuanzia ngazi ya kata na mashule, ili wenye vipaji wajiajiri.

Kupitia Sera hii pia, Serikali ya CHADEMA, itawatumia wawekezaji kuanzisha local radio & TV, kuanzia ngazi ya kata na mashule, ajili ya kuongeza ajira na upatikanaj habari katika ngazi za chini.

NB: Kwa Ilani hii bora inayopikwa na CHADEMA, CCM jiandaeni kukabidhi nchi.
Nadhani chadema ndani ya miaka mitano baada ya kuondoa ccm wajikite kupiga minada maliza za makada na kurudisha pesa zetu zilifichwa nje zaidi ya mika 60 ya uhuru hii ni sera tosha ya kusafi nchi ccm ni scam
 
Salaam,

Kuelekea Uchaguzi ujao nimedokezwa Ilani ya CHADEMA inayopikwa, itakua na kauli mbiu ya "TANZANIA YA KIDIGITAL INAWEZEKANA"

Kilichonifurahisha katika Ilani hii, kuna Sera ya "Uchumi wa Kidijitali" ambayo CHADEMA, wameifanyia utafiti na kugundua, itazalisha mamilioni ya ajira zitakazoboresha maisha ya wananchi, na kukuza uchumi wa taifa letu, bila kuuza raslimali zetu.

Kupitia sera hii, Serikali ya CHADEMA itawatumia wawekezaji, kuanzisha vituo vya sanaa na michezo nchi nzima, kuanzia ngazi ya kata na mashule, ili wenye vipaji wajiajiri.

Kupitia Sera hii pia, Serikali ya CHADEMA, itawatumia wawekezaji kuanzisha local radio & TV, kuanzia ngazi ya kata na mashule, ajili ya kuongeza ajira na upatikanaj habari katika ngazi za chini.

NB: Kwa Ilani hii bora inayopikwa na CHADEMA, CCM jiandaeni kukabidhi nchi.
Kweli wewe ni Mr Sound.
 
Back
Top Bottom