Kwa SAFARI tu????????

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Haya tena kumekucha..........mkuu wa Bunge amekazana kutoa ngoma droo na mkuu wa serikali.......kilichonisukuma hapa ni kwamba nimemfuatilia sana mama yetu akiwa safarini nje ya nchi anaondoa lile wigi na kusuka hivi (na anapendeza sana haata wengi waliwahi kuchangia humu) lakini kinachonishangaza ni kwamba akiwa mjengoni anatundika lile WIGI lake...Je ni ushauri wa kamati ya Ufundi????
_MG_3300.JPG
 
hivi hanaga suit nyingine mie naonaga hiyo hiyo akisafiri design ni hiyo hiyo siku zote..
 
Lile wigi ndani yake kumetundikwa Fumbala( hirizi) za toka Yakobi Njombe kamati yake ya Ufundi na maudhui haiwezi kukubali aingie Mjengoni na kukalia kigoda bila zana si unajua Wabongo walivyo wanga??????

Haya tena kumekucha..........mkuu wa Bunge amekazana kutoa ngoma droo na mkuu wa serikali.......kilichonisukuma hapa ni kwamba nimemfuatilia sana mama yetu akiwa safarini nje ya nchi anaondoa lile wigi na kusuka hivi (na anapendeza sana haata wengi waliwahi kuchangia humu) lakini kinachonishangaza ni kwamba akiwa mjengoni anatundika lile WIGI lake...Je ni ushauri wa kamati ya Ufundi????
View attachment 68909
 
Kwamba wanaweza wakamnyunyizia 'UNGA'??? ama!?
 
Hao wote ni wasaidizi wake???

Haya tena kumekucha..........mkuu wa Bunge amekazana kutoa ngoma droo na mkuu wa serikali.......kilichonisukuma hapa ni kwamba nimemfuatilia sana mama yetu akiwa safarini nje ya nchi anaondoa lile wigi na kusuka hivi (na anapendeza sana haata wengi waliwahi kuchangia humu) lakini kinachonishangaza ni kwamba akiwa mjengoni anatundika lile WIGI lake...Je ni ushauri wa kamati ya Ufundi????
View attachment 68909
 
Asiposafiri nyote mtakufa njaa! haha hahahaaaaaaa! Unajua tena wote wawili hawarudi tena mijengoni 2015 hivyo ni lazima wamake mambo chapchap kabla ya hapo (isiyo ya kifisadi) ila viji-imprest tu kidogo...si unajua bwanaa?
 
Back
Top Bottom