Kwa nini Yanga wanatafuta Straika wakati Crispin Ngushi yupo?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
Straika wa Yanga Crispin Ngushi Jana katupia mbili kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Jamhuri,lakini kakosa bao tano za wazi na kumpoteza mipira mingi sana,

Je Ngushi anafaa kuwa straika tegemeo la Yanga!?

Je Mayele alikuwa akiyafanya kwa ufasaha mkubwa sana na bado tulimponda, ndio tulihitaji juhudi zaidi kwa wachezaji wa kiafrika,sio kuruka ruka tu mpira unadunda unahama wewe unaanguka chini,kwa namna hii kocha lazima aendelee kutafuta straika mwingine maana anajua itakuja siku nafasi ya pekee utaruka ruka utaukosa mpira na utakosa goli la wazi,na imeisha hiyo,Sasa nani anataka upuuzi huo,kwa nini unakosa utulivu golini,je ni bangi au je ni sababu wewe haujatoka nchi za nje,ungetoka nchi za nje ungejua umuhimu wa clear chance na kufunga goli sio kukosa goli,mpaka lini wachezaji wa kitanzania mtakuwa makini na goli!?

Ngushi alitakiwa kufunga bao 7 dhidi ya Jamhuri lakini kapata clear chance zaidi ya tano yeye na goli lakini kashindwa kuzitumia,hapa akitafutwa straika mwingine tumlaumi nani!?

Je Augustine Okrah ni suluhisho!?

Nitarudi...!

Heri ya Mwaka Mpya.!
 
Yule ni Mbappe aaminiwe tu kwenye mechi zote ana kitu atatufikisha mbali
Screenshot_20240101-125524.png
 
Acha kuingiza siasa kwenye soka na kinyume chake.
 
Jana ndio nimejua kwanini ngushi hapati namba kikosi cha kwanza cha yanga

Matatizo yake makuu!

1: anaonyesha ni mtu wa kutafuta personal glory yaani ushirikiano na wenzake ni mdogo sana licha ya jana kutoa assist moja lakini bado ana tabia za anao anao sana.

2: hayupo makini hili limejidhihirisha jana baada ya kupata nafasi almost kumi lakini aliweza kutumia nafasi mbili tu!.

3 ana ufaza mwingi sana hali iliyosababisha apoteze mipira mingi sana kutokana na kulazimisha kupiga chenga segemu ambazo hapaswi kupiga chenga

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom