Kwa nini wasichana wanatoa mimba ?

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Kwa nini wasichana wanatoa mimba ?
 
Attachments

  • TOA MIMBA.jpg
    TOA MIMBA.jpg
    35.2 KB · Views: 200
  • TOA MIMBA.-2.jpg
    TOA MIMBA.-2.jpg
    9.7 KB · Views: 134
duh aisee yani mkuu hapa huwezi kupata jibu la swali lako(kwa nini wasichana wanatoa mimba)maana wasichana wa humu jf amabao wamesoma uzi wako wanajua sababu kwa nini wao walitoa mimba.any way naona hiyo picha inaonesha jinsi wanavyochoropoa mimba ila sio sababu za wao kuchoropoa mimba.subiri watakutajia sababu
 
duh hapa pagumu...........ila kila mtu ana sababu zake zilizomfanya atoe mimba kwa muda huo ingawa binafsi siwezi toa mimba labda niwe na tatizo la kiafya na doctor niambiwe sina jinsi zaidi ya kutoa .
 
kwasababu at a time being wanachokuwa wanahitaji ni mshedede na si watoto.
 
ila ungesema tu sababu mana ameuliza na ajasema majibu yatoke kwa wasichana tu.

Ombi limezingatiwa na nitakuwa tayari kurekebishwa kama nitakuwa nimekosea..
Sababu kuu ni mwenye ujauzito kutokuwa tayari kuzaa,na hii inatokana na sababu ndogondogo nyingi sana baadhi ni kama kutomjua mhusika wa ujauzito yaani aliyempa mimba hiyo,au aliyempa mimba hana uwezo wa kuitunza mimba hiyo na hana uelekeo wa kuwa na msimamo wa maisha,na wakati mwingine binti anaweza kuwa masomoni na hataki kufukuzwa shule kwa kosa la kuwa mjamzito,inaweza kutokea pia pale mimba inapohatarisha afya ya mzazi,wapo pia wanaotoa mimba baada ya kusalitiwa na wenzi wao kimapenzi na kuamua kumalizia hasira zao kwa viumbe wasio na hatia,na wapo wengine wanapenda tu mfano juzijuzi tu nilikuwa naongea na binti mmoja na akanitamkia bila wasiwasi kuwa yeye anapenda zile hisia anazozipata akifanya mapenzi na kushika mimba lakini hapendi kuzaa hivyo anachofanya ni kushika mimba na kuitoa baada ya miezi miwili na amekwishatoa kama saba hivi.Mengine nasisitiza bado nawaachia wahusika naogopa nisije kuundiwa tume bure...
 
Kwa nini unasema kukimbiwa ni sababu ndogo sana?

Samahani kwa kuwa nilichomaanisha sivyo ulivyonielewa,nilimaanisha kuwa kukimbiwa ni mojawapo ya sababu lakini zipo sababu nyingi sana zinazowafanya wasichana kutoa mimba zaidi ya kukimbiwa...
 
Ila hiyo picha ya mtoto kwenye hicho chombo inasisimua sana. Inabidi tuwaeleze wadogo zetu wasitoe mimba jamani. Ni ukatili mbaya sana. Atoaye mimba hajui utamu wa mtoto.
 
Samahani kwa kuwa nilichomaanisha sivyo ulivyonielewa,nilimaanisha kuwa kukimbiwa ni mojawapo ya sababu lakini zipo sababu nyingi sana zinazowafanya wasichana kutoa mimba zaidi ya kukimbiwa...

Nimekuelewa sasa. Ila iwe kukimbiwa au sababu nyingine yeyote isiyo ya kiafya haitakiwi kuhalalisha utoaji mimba.
 
Ombi limezingatiwa na nitakuwa tayari kurekebishwa kama nitakuwa nimekosea..
Sababu kuu ni mwenye ujauzito kutokuwa tayari kuzaa,na hii inatokana na sababu ndogondogo nyingi sana baadhi ni kama kutomjua mhusika wa ujauzito yaani aliyempa mimba hiyo,au aliyempa mimba hana uwezo wa kuitunza mimba hiyo na hana uelekeo wa kuwa na msimamo wa maisha,na wakati mwingine binti anaweza kuwa masomoni na hataki kufukuzwa shule kwa kosa la kuwa mjamzito,inaweza kutokea pia pale mimba inapohatarisha afya ya mzazi,wapo pia wanaotoa mimba baada ya kusalitiwa na wenzi wao kimapenzi na kuamua kumalizia hasira zao kwa viumbe wasio na hatia,na wapo wengine wanapenda tu mfano juzijuzi tu nilikuwa naongea na binti mmoja na akanitamkia bila wasiwasi kuwa yeye anapenda zile hisia anazozipata akifanya mapenzi na kushika mimba lakini hapendi kuzaa hivyo anachofanya ni kushika mimba na kuitoa baada ya miezi miwili na amekwishatoa kama saba hivi.Mengine nasisitiza bado nawaachia wahusika naogopa nisije kuundiwa tume bure...
duh huyo mdada atakuwa anapepo siyo bure.
 
Hiyo inaitwa majuu hamnazo na ukimuangalia huwezi kugundua tatizo lolote lakini naye ndio kilema chake hicho..
hicho kilema si cha bure........ila ukizoea kufanya jambo fulani inafikia muda unaliona la kawaida sana na huyo mdada anahitaji mtu ambaye atamwonyesha picha za jinsi mimba zinavyotolewa may be anaweza akabadilika.
 
Ombi limezingatiwa na nitakuwa tayari kurekebishwa kama nitakuwa nimekosea..
Sababu kuu ni mwenye ujauzito kutokuwa tayari kuzaa,na hii inatokana na sababu ndogondogo nyingi sana baadhi ni kama kutomjua mhusika wa ujauzito yaani aliyempa mimba hiyo,au aliyempa mimba hana uwezo wa kuitunza mimba hiyo na hana uelekeo wa kuwa na msimamo wa maisha,na wakati mwingine binti anaweza kuwa masomoni na hataki kufukuzwa shule kwa kosa la kuwa mjamzito,inaweza kutokea pia pale mimba inapohatarisha afya ya mzazi,wapo pia wanaotoa mimba baada ya kusalitiwa na wenzi wao kimapenzi na kuamua kumalizia hasira zao kwa viumbe wasio na hatia,na wapo wengine wanapenda tu mfano juzijuzi tu nilikuwa naongea na binti mmoja na akanitamkia bila wasiwasi kuwa yeye anapenda zile hisia anazozipata akifanya mapenzi na kushika mimba lakini hapendi kuzaa hivyo anachofanya ni kushika mimba na kuitoa baada ya miezi miwili na amekwishatoa kama saba hivi.Mengine nasisitiza bado nawaachia wahusika naogopa nisije kuundiwa tume bure...

Huyo binti ni mgonjwa wa akili, si bure.
 
Back
Top Bottom