kwa nini wanawake hupendelea kuvaa bikini zaidi

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
956
227
siku hizi wanawake wengi hupenda kuavaa bikini sana ni kwa nini au zanamvuto kwa wanaume?
 
huwa wanapenada kuvalia na suruali za kubana bcoz zile za kawaida zinaonyesha ilikoishia
 
inakufanya ujihisi free, haionyeshi panty line, na pia inakufanya ujihisi 'sexy'...
 
Sasa siwaache kuvaa maana nikamba tu maana na kwenye mouse napenyewe sikuhizi zimetengenezwa hazifuniki!!Bora waachetu!!
 
Sasa siwaache kuvaa maana nikamba tu maana na kwenye mouse napenyewe sikuhizi zimetengenezwa hazifuniki!!Bora waachetu!!
hilo nalo neno.
marafiki zangu wanavaa ilaa mimi zimenishinda kabisa, sijui ndo ushamba huo!? huwa nahisi inaniumiza
 
inakufanya ujihisi free, haionyeshi panty line, na pia inakufanya ujihisi 'sexy'...
...Hakuna kitu. wengine wanavaa bikini na michachandu kibao kiunoni akinyanyanyua mikono juu au kuinama inaonekana yote mpaka kinyaaa!!!:frusty::frusty:
 
...Hakuna kitu. wengine wanavaa bikini na michachandu kibao kiunoni akinyanyanyua mikono juu au kuinama inaonekana yote mpaka kinyaaa!!!:frusty::frusty:

Huko ni kuchanganya madawa sasa! Nway ukikutana naye wa hivo mwelimishe sio kumponda huenda ajue; ila bikini ama thong yake cheni ya silver ama gold.............:A S tongue:

Mimi mdada akipiga hivyo ah..........................! ! !:A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:
 
Bikini ndo nini wakuu

bikini ni chupi yenye kamba tuu kwa nyuma na huzama kwenye makalio ya mwanamke.ukimwangalia kwa nyuma akitembea utadhani hajavaa chupi(mkiwa private lakini mkuu sio barabarani)
 
Back
Top Bottom