Kwa nini Wahehe na Tanzania nzima hatumuenzi Mkwawa ipasavyo?

Ang'ina linno kikwete na uvakwe!
nye! nye! nye! nye vaanu nye mbona muna uhuro de! yaani mkumuliga muyenu de! si lunofu nda, ne ndiwona tulongane ing'ani iyi ye ndiandike ukuta tugite wuri cha kumwiwuka mtwa vetu maana tumusemilwe sana.
 
nye! nye! nye! nye vaanu nye mbona muna uhuro de! yaani mkumuliga muyenu de! si lunofu nda, ne ndiwona tulongane ing'ani iyi ye ndiandike ukuta tugite wuri cha kumwiwuka mtwa vetu maana tumusemilwe sana.
Nee ndiwona twiikemese mbetuli yetuli pa darisalamu neke tulongane tugiteuli ili tumwiukage umtwa vetu!!
 
Chacha wajomba wamechacha, tuongee lugha ya taifa basi na chichi tufaidi japo kiduchu.
 
Nee ndiwona twiikemese mbetuli yetuli pa darisalamu neke tulongane tugiteuli ili tumwiukage umtwa vetu!!
ulongite lukani muvina, chene twikong'ase vahehe mbevali tupange tugite wuli, twikemele mbevali va kumwani neke tulongane lunofu maana iyi ye nyoni pede kwa vanu vangi.
 
ndugu zanguni wapendwa bila shaka tumetoa mapendekezo mbalimbali kweye hii mada, maneno matupu hayasaidii, mi naona tutekeleze kwa vitendo yote tuliyojadiliana.
 
usilete ukabila hapa jamvini, mkwawa alikuwa shujaa wa watanzania wote hivyo unapaswa kuuliza kwa nin watanzania hatumuenzi mkwawa. sio kwa nini wahaha hamumuenzi mkwawa.
 
usilete ukabila hapa jamvini, mkwawa alikuwa shujaa wa watanzania wote hivyo unapaswa kuuliza kwa nin watanzania hatumuenzi mkwawa. sio kwa nini wahaha hamumuenzi mkwawa.
kama ukabila ni dhambi basi mi naomba niwe wa kwanza kuchomwa moto huko mbinguni kama kupo, mimi ni mhehe, nilizaliwa mhehe na nitakufa mhehe na mkwawa ndo mtwa wangu. kama we hupendezewi na kabila langu basi jinyonge tu maana hakuna calolite ya kufuta ukabila wa mtu. hata hivyo naomba usome kichwa cha thread vizuri ndipo utoe hoja na sio kukurupuka tu eti nisilete ukabila! ni ukabila gani niliouleta hapa? mimi nimeuliza kwa nini wahehe na watanzania hatumuenzi mkwawa ipasavyo? je ukabila wangu uko wapi hapo? nimelazimika kuwataja wahehe kwasababu wao ndo wanatakiwa kuwa wa kwanza kumuenzi,kumtangaza na kumtetea popote duniani.
 
wandugu, MKWAWA ni mtu mhimu sana kama alama ya ushujaa wakweli na utetezi wa mwafrika dhidi ya ukoloni, mtu huyu enzi zake aliogopwa mno. utawala wake ni moja kati ya tawala pekee zilizopigana na mjerumani na kumshinda.aliwafanya wahehe wajurikane kama the most powerful military people in German East Africa.ni mtu huyu pekee africa aliyekataa kulipa kodi kwa mkoloni na badala yake ni yeye ndiye aliyetaka alipwe kodi na wajerumani.najua hstoria yetu imeandikwa na wazungu na ndiyo maana vitabu vyetu vya historia havimuelezei kiundani mtu huyu kwani ni aibu kwao, ni huyu ambaye kifo chake kimejaa utata, wajerumani wanaamini alijiua na wao walimkata kichwa japo wengi hatuamini hivyo, fikra kubwa aliyokuwa nayo ni kwamba hata baada ya kifo chake hakupenda maiti yake iguswe na wazungu hivyo alikoka moto na kujipiga risasi mwili wake ukaangukia kwenye moto na kuteketea kabisa, hivyo hata kama walipata kichwa basi hakikuwa chake ila cha moja kati ya wafuasi wake. hiyo ni moja kati ya dhana zinazobishaniwa uheheni kwani wengine wanaamini alijidumbukiza mto kikombo na kupotea na wengine wanaamin aliendakujificha mapangoni na kufia huko. huyu mtu ni shujaa kweli! lakini kinachonishangaza mtu huyu kamwe haenziwi ipasavyo, wahehe wa leo utadhani hakuwa chifu wao na tanzania pia nayo imemsahau mtu huyu, mi nafikiri vya kale ni dhahabu apewe heshima yake kama inavyostahili maana huyu ndiyo kioo cha ushujaa wetu. hebu ona alivyopambana nao
(Lt. Tettenborn believed that if it had not been for the death of a large number of Wahehe chiefs, Mkwawa incorrectly included, no one would have survived. Saving the main 'part of the baggage' is also incorrect, it was not saved. Zelewski had started with 13 Europeans, some 320 Askaris, 170 porters, machine guns, and field artillery. Of these ten Europeans, 256 Askaris, and 96 porters had been lost. The German defeat made a truly enormous impression and the Hehe had now gained reputation as the most powerful military people in German East Africa and the Schutztruppe was no longer in a position to continue attacking the Wahehe.) kwa jeshi lenye vifaa kama hili alilopigana nalo mkwawa na akalishinda je ni kweli hastahili heshima?

Mkwawa yupi? maana ukikutana na wazee wa Uheheni hawaamini kuwa lile ni fuvu la Mkwawa!
 
Mkuu this was posted 2 years ago, Mkwavinyika wa Mnyikungu is still the best of the best!!
user-online.png
Lole Gwakisa

21st November 2009 12:09 AM
#1 JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 5th November 2008
Posts : 2,232
Thanks948Thanked 760 Times in 417 Posts

Rep Power : 27


[h=2]
icon1.png
Mtwa Mkwawa-111 years ago![/h]
Wakuu humu JF, this celebrated hero died 111 years ago,lest we forget his sacrifice and bravado.

Chief Mkwawa of the Hehe
This is a short history of Mtwa Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga(1855-19th July1898)

The Tanganyikan interior in the latter half of the nineteenth century was in a state of chaotic flux. Incursions by Arab slave traders from the coast had disrupted the balance of power between clans and tribes, while the militaristic Ngoni tribe's invasion in the south had triggered several mass migrations. This uncertain climate provided ideal soil on which opportunistic leaders such as Chief Mirambo of the Nyamwezi could plant their own personal kingdoms.
Another leader who emerged triumphantly from this confusion was a Hehe chief named Mtwa Mkwawa Mwamnyika ("Conqueror of Many Lands"), better known as Chief Mkwawa. Born near Kalenga in 1855, Mkwawa's ambitious character was well suited to his time. By 1889, he had become undisputed leader of the Hehe, whom he made the region's dominant tribe by uniting – though force or diplomacy – more than one hundred clans and smaller tribes. It was not just numbers, but regimented military organization that formed the basis of Hehe power, and which gave Mkwawa the ability to stem the hitherto inexorable southward advance of the Maasai. Mkwawa also began to threaten Arab control over the lucrative slave and ivory-carrying caravan routes that passed through his territory, though declining Arab power meant that it was not against the sultans of Zanzibar that the showdown eventually came, but against the German colonial war machine.
At first, Mkwawa tried to secure treaties with the Germans, but when they refused, the Hehe turned their arms against the arrogant newcomers. On August 17, 1891, a year after the Germans had placed a garrison in Iringa, Mkwawa's troops surrounded and ambushed a German expeditionary force led by Lieutenant Emil von Zelewski in the Lugalo Hills east of Iringa, killing nearly five hundred soldiers and capturing a vast quantity of firearms and munitions. Only two German officers and fifteen men escaped.

This is one story that has not been properly retold.
Chief Mkwawa lured Zeweleskis troops that were advancing on Mkwawas villages, pillaging,torching village huts and killing resistant young warriors.
A perfect pincer movement, whereby a retreating warrior force attracted a well armed German regiment under Zeweleski.
To the surprise of the German force the warrior force as if by instinct came o a stand still and started to fight back while two flans of spear wielding warriors attacked on the main body of the German force.
And it worked.
On the 17th August 1891 the German force was annihilated, ten German officers lay dead including the commanding officer Lt Emil von Zeweleski.

Mkwawas forces gave chase, about 300-400 crack warriors, and the Germans did not stop until after covering over 400km and rested at Kondoa


Mkwawa was no fool, and anticipated German revenge – by building a thirteen-kilometre, four-metre high wall around his palace and military base at Kalenga. The Germans took their time to reorganize, and it wasn't until October 1894 that they made their move, establishing themselves on a hill overlooking Kalenga, now the site of Tosamaganga, and beginning a two-day bombardment of Kalenga (the name tosamaganga means to "throw stones"). On October 30, 1894, the Germans under Tom von Prince stormed and took Kalenga with relative ease. The extent of Mkwawa's wealth can be gauged by the fact that it took four hundred porters to carry all his ivory away. The Germans also found 30,000 pounds of gunpowder, which they used to level the town. For Mkwawa, the loss of Kalenga was a double tragedy, since his mother – who had been told that her son had been captured – committed suicide.
In fact, Mkwawa escaped into the forests west of Kalenga, from where he waged a four-year guerrilla war against the Germans. He was finally cornered in 1898, having been betrayed by informants attracted by a five-thousand-rupee reward. Rather than surrender, he shot his bodyguard, and then himself. The Germans, arriving on the scene shortly after, placed another shot into Mkwawa's head just to be sure, then severed it. The chief's headless body was buried by his family at Mlambalasi, 12km south of the road to Ruaha National Park, while his skull was sent on to Berlin and then on to the Bremen Anthropological Museum. There it remained until 1954, when it was finally returned to the Hehe – it's now the star exhibit of Kalenga's Mkwawa Memorial Museum.
Mkwawa's death marked the end of two decades of resistance to German rule across Tanganyika, and the end of the Hehe Empire, but the ensuing peace was short-lived. Seven years on, the Maji Maji Uprising erupted.

This year about 111 years ago, Mtwa Mkwawa must be remembered as a hero worth emulating.​





progress.gif
Edit Post Reply Reply With Quote Thanks


[h=2]The Following 14 Users Say Thank You to Lole Gwakisa For This Useful Post:[/h]
911 (22nd November 2009), Annina (22nd November 2009), Companero (21st November 2009), Dingswayo (21st November 2009), FirstLady1 (21st November 2009), Kabengwe (19th March 2011), MTM (22nd November 2009), MwanaFalsafa1 (21st November 2009), Nanren (8th March 2011), NG'E (8th March 2011), Ogah (21st November 2009), SMU (8th March 2011), Zitto (22nd November 2009)​
 
Mkwawa yupi? maana ukikutana na wazee wa Uheheni hawaamini kuwa lile ni fuvu la Mkwawa!
yaani kusoma kwako thread hiyo hujatambua tu ni mkwawa yupi tunayemwongelea? pole ni yule mfalme wa wahehe aliyepigana na wajerumani na kuwashinda vita ya kwanza na baadaye kushidwa japo kwa tabu vita ya pili na wajerumani
 
yaani kusoma kwako thread hiyo hujatambua tu ni mkwawa yupi tunayemwongelea? pole ni yule mfalme wa wahehe aliyepigana na wajerumani na kuwashinda vita ya kwanza na baadaye kushidwa japo kwa tabu vita ya pili na wajerumani

Ndiyo maana nimekuambia wenyewe wahehe, hawaamini kuwa lile fuvu la Mkwawa ni la mkwawa, wajerumani walipofika eneo alilokuwepo Mkwawa, yeye aliishatoroka, aliyesema ni mkwawa alisema kuwadanganya wajerumani, na alijiua kumlinda mkwawa wa ukweli................

unataka niendelee?
 
Back
Top Bottom