kwa nini wafanyabiashara hawaikubali coin ya shilingi moja?

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
kwa muda wa miezi 6 iliyopita nimekua katika harakati za kukusanya coins za shilingi moja za kitanzania na kufanikiwa kupata jumla ya shilingi mia mbili,niliamua kwenda dukani kununulia sabuni bila mafanikio kwa sababu kila duka nilililopita niliambiwa hizi hela hazitumiki.katika kumbukumbu zangu sikuwahi kusikia tangazo kutoka bank kuu ya tanzania kwamba fedha hizi sio halali kutumika.naomba tujadili kwa nini fedha hii halali ya kitanzania haikubaliwi na wafanyabiashara?
 
Back
Top Bottom