Kwa Nini Wadada na Mama Mnatutega sana?

Mi naona tusiwalaumu hao wadada wanaovaa hivyo peke yao, tuangalie sababu inayowafanya wavae hivyo. wote tunajua kuwa advert kwenye biashara ni muhimu sana wkenye mauzo. sasa kama wimbi la uvaaji ovyo linaongezeka maana yake ni kwamba walioanza kuvaa ovyo wameprove biashara inaenda vizuri wakivaa ovyo, ndo maana wengi zaidi wanaendelea kuvaa ovyo. trust me, nyie wakaka (wanaowavalia ovyo) mkiacha manunuzi kwa wanaovyaa ovyo na kuelekeza biashara kwa wanaovaa vizuri kila mdada atataka kuvaa vizuri ili awe kwenye market.

YES Fixed Point, that is the truth. Now, I catch U.
 
Back
Top Bottom