Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Kwa nini jamani mnapenda sana kutupa majaribu? Siku hizi mmezidi sana mpaka mavazi ya kuvaa nyumbani/kitandani ndio mnaenda nayo matembezini, maofisini n.k. Kwani bila kuvaa suruali za kubana, pedo pusha, vitop, vimini, n.k hampendezi? Wanawake wa mjini hamwachi kuacha matiti nje nje...kwa nini jamani? mnataka kutuua? Wengine wanashusha suruali zao ili mikanda ya chupi ionekane, wanaovaa underskate makusudi mnaacha michirizi ya kwenya mapaja inaonekana. Mbona sisi tukienda maofisini hatuvai bukta, vest au carwash kuonyesha muscles au nyeti zetu! Kwa nini jamani? Si vizuri jamani kuhatarisha maisha ya wenzio!!