Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Shalom wandugu wote
Katika pita pita na kutaka kuwapa shoulder Chadema nimejikuta kwamba siwezi kutoa mchago wangu kwa njia ya sms na kuambiwa kwamba Vodacom ambayo kuna mikono ya mafisadi kama wenye hisa huko . Chadema na kampeni yake sasa imekufa .Kuna mwenye taarifa zaidi juu ya siasa hizi za kipuuzi ? Na kama wao Vodacom wamegoma je Zain wanasimama wapi ?
Kama CCM wataruhusiwa ama wameruhusiwa maana sidhani kama kuna mtu wa kuwafanyia yale ya Chadema ina maana mwisho wa siku Watanzania wengine kuendelea kutumia huduma za hizi kampuni itakuwa na maana gani ? Kama wao wako kibiashara je kuna mantik gani sasa kuwafungia Chadema ?
Tigo naambiwa wao wamekataa kutumika na Chama chochote wanabakia kuwa neutral as they are in business .
Kuna mwenye habari zaidi juu ya jambo anisaidie kuliweka sawa ?