Kwa nini Vodacom wamekataa? Na Zain wanaweza kuruhusu?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Shalom wandugu wote
Katika pita pita na kutaka kuwapa shoulder Chadema nimejikuta kwamba siwezi kutoa mchago wangu kwa njia ya sms na kuambiwa kwamba Vodacom ambayo kuna mikono ya mafisadi kama wenye hisa huko . Chadema na kampeni yake sasa imekufa .Kuna mwenye taarifa zaidi juu ya siasa hizi za kipuuzi ? Na kama wao Vodacom wamegoma je Zain wanasimama wapi ?

Kama CCM wataruhusiwa ama wameruhusiwa maana sidhani kama kuna mtu wa kuwafanyia yale ya Chadema ina maana mwisho wa siku Watanzania wengine kuendelea kutumia huduma za hizi kampuni itakuwa na maana gani ? Kama wao wako kibiashara je kuna mantik gani sasa kuwafungia Chadema ?

Tigo naambiwa wao wamekataa kutumika na Chama chochote wanabakia kuwa neutral as they are in business .

Kuna mwenye habari zaidi juu ya jambo anisaidie kuliweka sawa ?
 
Nahisi kama sijakuelewa! Kwa hiyo wote Zain, Voda na Tgo wamewakataa Chadema ama?
 
Wewe unayedhani makampuni kama Vodacom aka. Vodafone yangaongozwa kama chama cha ushirika? Ama kweli akili ni nywele kila mtu anazaki...!!!
 
Wewe unayedhani makampuni kama Vodacom aka. Vodafone yangaongozwa kama chama cha ushirika? Ama kweli akili ni nywele kila mtu anazaki...!!!

Mkuu kasheshe kama unapinga haya nisemayo nadhani utabaki kuonewa huruma . Zain na Vodacom na hasa Vodacom ambao mwanzoni walikubali na sasa wame block you cannot send sms kwa nia ya kuchangia . Source toka Chadema zinasema yes Vodacom wamesitisha kuacha mpango wa ufanye kazi na wewe Kasheshe unabisha ? Zain nangojea kujua wamesema nini but TIGO they have opted to do business so hawataki kupokea pesa za CCM ama chama chochote . Asubuhi hii nimepata message toka Push Mobile inasema kutoa ni moyo so changia CCM na wakatoa instruction nikashangaa mno na collection inapitia Zain .
Haki iko wapi ?
 
du sio mchezo sikulijua hilo.

Johnsecond kama ulikuwa hujui basi hizi ndiyo taarifa zenyewe nami najiuliza kwamba hawa watu wa makampuni ya simu wanataka kufanya biashara na wana CCM pekee ?Maana watanzania 40mn wana maamuzi yao .
 
Wewe unayedhani makampuni kama Vodacom aka. Vodafone yangaongozwa kama chama cha ushirika? Ama kweli akili ni nywele kila mtu anazaki...!!!

Na kweli akili ni nywele, kwahiyo wanapo ruhusu CCM ni sawa ila kwa vyama vingine ndo si sawa?
 
Jamani CCM ni "Chama Tawala" lazima watapata wanachokitaka hata kama makampuni hayo yatakubali kwa shingo upande. Juzi Diamond mmethibitishwa na Rais na Mkuu wa Chama Tawala kwamba nguvu za dola zinaweza kutumika popote pale.
 
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao

IMG_7054.JPG



IMG_6995.JPG


IMG_6926.JPG


IMG_6975.JPG

IMG_9142.jpg



DSC_0522.JPG
 
uhuni mwingfine wa ccm kuwa zoofisha CDM lakini hata wakifanya hivyo Mungu ataonyesha kuwa yuko juu ya akili ya kibinadamu
 
VODACOM ni kampuni ya mawasiliana kwa watu wote bila kjali dini,kabila,ukanda na hata uchama. Sasa hapa haya makampuni ya mawasiliana yanataka kutugawa. Natoa pongezi kwa uongozi wa kampuni ya TIGO kwa kuliona hili. Kama hii habari ina ukweli ndani yake basi haya makampuni yamepoteza kabisa malengo yao kama watoa huduma ya mawasiliano kwa watu wote bila ubaguzi.
 
Naombeni mniweke sawa sawa .Nimeona picha na nimeshindwa connection yake na bandiko hili .Nimeona comments juu ya wanzanzibari ila bado niko gizani .Msaada tafadhali
 
naombeni mniweke sawa sawa .nimeona picha na nimeshindwa connection yake na bandiko hili .nimeona comments juu ya wanzanzibari ila bado niko gizani .msaada tafadhali

wakati watu wanaomboleza na kuhangaika kuokoa wahanga wa ajali ya meli vodacom walikuwa busy na miss tanzania yao na hawakutoa tamko lolote juu ya ajali hiyo....watu wamechukia
 
Back
Top Bottom