mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
Ni desturi kwa mwanaume kumpa pesa mwanamke baada ya kufanya naye mapenzi, na ikiwa mmekubalina na pia RAHA hata na yeye anaipata.
Inakuwaje mmpe pesa na siyo mwanamke ampe pesa mwanaume, hata kama mwanamke ana kipato kikubwa akini bado anapewa pesa kwa ajili ya penzi. Mwenzenu napata taabu sana kulielewa suala hili.
(1) nini maana ya pesa anayopewa (kumuhonga)
(2) Je, kwa nini mwanamke asiwe yeye wa kumpa pesa mwanaume?
Wana JF naomba mnisaidie.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!