Kwa nini Umuhonge Mwanamke???

nadhani huo ni mtazamo tu,wapo wanawake ambao wana wawezesha wanaume zao.na tofauti na hapo imezoeleka kuwa mwanaume ndio kiongozi hivyo ni wajibu wake kuhudumia mwanamke.
 
Hao wanaowezesha Wanaume ndio wazuri, kwani wanajua maisha.

Lakini wengi wao hawalijui hilo wao wanataka kupewa RAHA pamoja na PESA; Kwa kweli wanatunyanyasa kabisa.

TUAMUE KUWEKA MGOMO WA KUHONGA SASA!!!!!

Mwanamke akila Chips na Soda / kinywaji, basi tosha kabisa hakuna kumpa kitu tena kama ni pesa ya sabuni kwani siku zote huwa haogi?????

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
kama mwanamke hana desturi ya kuhonga, be careful anapokuwezesha....

Anaweza kukupa laki 1, ukadhani anakusaidia kumbe mwenzio anajua itazaa laki 3, na jinsi utakavyorudisha laki 3 unaweza usijue kabisaaaaaaaaa......chezea mwanamke wewe
 
Back
Top Bottom