Kwa nini tume inachelewa kutangaza matokeo Igunga? Vurugu zimeanza

polisario ndo kila kitu akifanya bosi wako unakubali kwa kuwa ni bosi, being a bosi it is just a word brother oh sister, sisi wote tuna akili na tunaona na tunaweza kujaji, heshima, amani na haki these are two way traficc things, has to be played and respected in both sides!

ALAFU WEWE UNA ELIMU GANI?? IS IT RIGHT UP NOW NEC IS STILL SILENT? CAN U PROVE TO ME THAT, THERE IS NO SUSPICIOUS TRANSACTIONS TAKING PLACE?WHAT HELL IS THERE?410 CENTRES CAN TAKE A DECADE TO BE OUT??

JIMBO MOJA TU!USIWE MSHABIKI NA LIMBUKENI WA KISIASA!HII NCHI SIO YA CDM WALA CUF WALA CCM NI NCHI YA WATANZANIA!LAZIMA PALIPO NA NYUFA TUZIONESHE NA TUTAFUTE DAWA YAKE! HAYA NI MAMBO AMBAYO KAMWE HAYATAVUMILIWA! POLISARIO TUMIA BUSARA NADHANI UTAKUWA NA FAMILIA, ONESHA UKOMAVU WAKO KATIKA KUFIKIRI KAMA UNAVYOENDESHA FAMILIA YAKO USIWE KAMA NAPE!

AU MNADHANI NYIE NDO WENYE AKILI!SADAM KAONDOKA, MAO ALIONDOKA, GHADAFI KAONDOKA, MISIRI LIBYA TUMEONA, BANDA KAONDOKA, GHABO KAONDOKA ITAKUWA CCM? IT IS JUST A MATTER OF DECISION TIME! MILIKI DOLA LAKINI MTAONDOKA HATA KWA NGUVU MTAONDOKA!MIAKA YOTE 17 MMEFANYA NINI IGUNGA CHA KUKUMBUKWA?NCHI HAINA UMEME HAMSIKII AIBU?

WE ARE REALY TIRED OF YOU!
 
waambie hao
 
Kuna tetesi kwamba iwapo mgombea wa CCM atapita ktk kinyang'anyiro cha ubunge wa Igunga, basi kuna dalili kubwa kwamba ktk mabadiliko ya Cabinet Kikwete atamteua mgombea huyo kuwa Waziri wa Nishati na Madini kwa kigezo kwamba jamaa ana uzoefu wa kutosha walau kuweza kuingoza wizara hii iweze walau kutoa tongotongo na wingu zito la matatizo ya wizara husika ikiwapo umeme na mikatabafeki iliyorundikana wizarani na inayoendelea kuatamiwa na serikali.

Binafsi najiuliza, hivi huyo Kafumu so ndo alokuwa kamishna, na yote hayo yamefanyika ktk kipindi cha ukamishna wake? Je sio kwamba kama akifanya hivi itakuwa sawa na kuweka mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya, ili hali kinywaji ni kile kile? Iwapo hili litatokea basi ****** kwa mara nyingine atakuwa ameuthibitishia umma wa Watanzania kuwa yeye ni kiazi kweli kweli si mchezo.

Tunasubiri tuone!!!!

sasa ndyoko unashangaa nini hapo?hujui kuwa huu ndo utaratibu wa kuendesha nchi wa hawa magamba.......?
 
Kumbuka uchaguzi mkuu uliopita hata katika majimbo tulikuwa tunapata updates za majumuisho kutoka vyanzo vya chama, na mara nyingi vyanzo hivi ndio vilitufanya tukalinde kura zetu pale ilipohitajika. Kama kweli majumuisho hayaonyeshi tumeshinda na utakuwepo uchakachuaji wowote ni vyema tukakubali matokeo kwa hilo pia litazidisha mvuto wa CDM miongoni mwa wnaanchi. Lakini zikitokea fujo hususan unjustified ones ni kuwa tutakuwa tunazidi kupoteza na magamba watatumia fursa hiyo kufanya propaganda dhidi yetu.

Propaganda za magamba dhidi yetu hazitupi shida kabisa na wala haziwasumbui wananchi. Kama magamba wangekuwa wanategemea propaganda wasingekuwa wqanahangaika kuhonga watu, kununua shahada na kuhamisha majina ya wapiga kura ili washindwe kutumia haki yao ya kuchagua kiongozi wanayemtaka.

Kama propaganda za magamba zingekuwa na tija wasingetumia vyombo vya dola pamoja na serikali kufanya kampeni na ulaghai kwa wananchi ili wachaguliwe, kwahiyo propaganda zao haziwaiingii watu akilini kabisa.

Sasa unataka viongozi wa chadema wawatangazie matokeo wafuasi wao, wakishitakiwa kwa kukiuka sheria ya uchaguzi utasemaje? usiniambie kwa kuwa nape katangaza basi na chadema nao watangaze. Tangu kampeni za igunga zimeanza ni mwanamagamba yupi aliyeshikiliwa ama kushtakiwa kwa uvunjifu wa sheria pamoja na kwamba wameripotiwa kufanya irregularities nyingi.
 
Back
Top Bottom