Kwa nini TANZANIA isiwe kama UGANDA?

mende 2014

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
763
131
Hapa Tanzania kuna wanawake wanaovaa mavazi ya kuiaibisha jamii ambapo wengine wanatembea na nguo zingine nusu uchi kabisa. Je, kwa nini Tanzania isitunge sheria kama Uganda?
 
Em wasirisha hoja yako fasta bungeni kabla wazee hawajamaliza huenda likafanyiwa kazi loh!! Si muwachapee??eboh!
 
Kwa kweli akina dada wanatuhaibisha maana mavazi yao ni mabaya sana wanaonyesha mapaja njenje. Wengine siku hizi wanafunga kanga tu bila chupi jambo ambalo ni la aibu sana. Bunge letu lingezungumzia hili.
 
Em wasirisha hoja yako fasta bungeni kabla wazee hawajamaliza huenda likafanyiwa kazi loh!! Si muwachapee??eboh!
hiyo katiba imewashinda sembuse nguo fupi?hachapwi mtu wala nn.kwanza viongozi wetu wote wanapenda.dar joto jamani
 
Back
Top Bottom