Mutta
Senior Member
- Mar 24, 2011
- 101
- 11
Ni zaidi ya miezi 11 tangu milipuko ya mabomu ya GONGOLAMBOTO itokee.Lakini serikali haijawajengea nyumba waathirika wala wale WALIOPOTEZA VIUNGO kwa uzembe wa Serikali.Cha kushangaza wamepewa viwanja wa mafuriko kabla watu wa Gongolamboto kupata viwanja na kujengewa nyumba.Cha kujiuliza MABWEPANDE imejulikana baada ya mafuriko?Watu waliopoteza viungo wao wanasubiri nini huku wakiteseka? Naomba SERIKALI YA KIKWETE imalizane na watu wa MABOMU kwanza.Naamini peza zilizochangwa na taasisi mbalimbali zipo.WAHURUMIENI watu hao.