Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,156
Wadau nna wasiwasi kuwa hapa tunataka kuja kupigwa changa la macho.Sheria ya marekebusho ya kupata katiba mpya ulijadiliwa Bungeni kwa maslahi ya taifa .Hii ripoti iliyokuwa ikimchunguza ndugu Jairo kwa nini spika Makinda aliiiamulia mwenyewe kuwa aliona kasoro zinazopaswa kwenda kurekebishwa?Maswali ya kujiuliza ni mengi
Kama aliona pana mapungugu kwa nini asiyataje hayo
mapungufu tukayajua?Ni siri gani inafichwa hapa?
Wananchi tukihisi Spika na Serikali yake wanapanga ku-
msafisha Jairo Kama ilivyo kawaida yenu ya kulindana
tutakuwa tunakosea kweli?
Yapo mengi yanatutia wasiwasi jinsi makinda anavyoendesha Bunge kwa kauli zake Kama"waziri jibu kwa kifupi/Swali lako ni jipya"na mengine Kama hayo.
Nnaomba kuwasilisha hoja